Recent content by msemakweli-daima

  1. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

    Yatasemwa mengi sana
  2. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania AUDIO: Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu

    Mmmmmm hapo kazi kweli kweli hata mungu hatumuogopi
  3. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Njaa zinatusumbua sana
  4. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na ndoto zilizozimwa kwa ujio wa Edward Lowassa

    Siasa za matumbo hizi
  5. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Rais Kikwete Australia ni sahihi?

    Ndiyo diplomasia hiyo...
  6. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

    Kwanini utumie gharama kubwa kiasi hicho kuomba uongozi,kama una dhamira ya dhati kweli kulikua na ulazima gani kutumia pesa zote hizo angerudisha kwa mfumo upi? Watanzania tuna macho na akili za kupambanua mambo si wakati wa kudhihakiwa sasa,uongozi pia lazima kuwe na mshindi na washindwa si...
  7. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

    Anataka kuuza jina magazetini,watanzania wa sasa wanaangalia uchapakazi siyo jina la mtu.i think tumsamehe huyu mzee hajui atendalo.
  8. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

    Mzee huyu anataka kutuchagulia kiongozi,mbona wengine waliokatwa hawasemi? Kwanini yeye ang'ang'anie kwa lowasa tu? Hawa wengine siyo watu? Mzee kingunge anajiharibia heshima yake na uzee wake.
  9. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania Uenyekiti CUF: Nani atamrithi Prof. Lipumba?

    Pengine katiba zao za chama zinawaruhusu kua viongozi wa kudumu.......
  10. msemakweli-daima

    JamiiForums Tanzania Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

    Tumsamehe huyu mzee uzee nao unachangia.
Back
Top Bottom