Hili ni gazeti la serikali, linaandika uongo mchana kweupe ili iweje???
Magufuli bado hajaenda Chato sasa kaiteka lini?? Mbona mnajitaidi kuwa waongo kiasi hiki nyie waandishi??
Hivi hamuoni kwamba credibility yenu inashuka sana? Tafadhali mkitaka kuwa waongo msiwe wasaulifu.
Picha kutokea juu, ikionesha umati wa vijana na wamama kwa wazee morogoro mjini wakimsikiliza Lowassa
Picha kutokea usawa wa umati
Kwa hisani ya Lowassa.
Na ikitokea mkaichagua tena CCM mwaka huu nije nione ma mbulula yanalalamikia kuhusu hayo juu.
Tena nina hamu sana na hawa wasanii, wako kama kondom wanatumiwa na kutupwa
Wewe wewe!!!!! Heeeee dada yangu shosti , embu wajaribu kumkamata Lowassa halafu waone. Nakwambia hii nchi haitakalika hata kwa nusu saa.
Na lazima watajuta kwa kufanya huo upumbavu.
Yani wameshindwa kumkamata miaka nane yote waje wamkamate leo??? Nakwambia kama wanataka kufa basi tutakufa wote
Kesho saa nne Lowassa the Great atakua jimbo la Kawe na Saa nane mchana atakua jimbo la kibamba.
Mkutano wake wa Kibamba utarushwa live kwenye tv station zote ikiwemo ITV, AZAM....
Basi Sawa!
Eti kuna tetesi kwamba Lowassa ameongeza umaarufu kuliko magufuri baada ya hotuba ya Dr Slaa?
Eti Magufuri ameanza kukata tamaa mpaka kufikia hatua ya kujitekenya na kucheka mwenyewe?
Basi Sawa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.