Recent content by Msema Hovyo100

  1. M

    Jinsi ya kulinda haki za wasanii wa filamu

    Wasanii wa bongo movie mnachotakiwa kufanya ni kubadilisha mfumo wa soko lenu ulingane na wasanii wa filamu wenye mafanikio dukani. Chukulia movie mpya imetoka bila ya kuwekwa kwenye CD wala mitandao. Moja kwa moja ichezwe kwenye majumba ya sinema miezi mitatu. Ikiwa mtu mmoja atalipa 12000...
  2. M

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Kina Denzel wanazidi kuwa matajiri. Na movie zao haziuzwi na wamachinga. Makonda kaelekea mstari ulionyooka hapo cha kufanya kuiga system ya ya Hollywood.
  3. M

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Tembea uone unafikiri movie za Hollywood zinauzwa kijiweni labda boot leg kwa vionyozi na siku hizi mtandao umewato upepo.
  4. M

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Asilimia kubwa pesa ya movie ni kwenye theater. Kama ambavyo muziki ni kwenye show. Movie zinazowekwa kwenye internet ni za zamani wasanii washakuwa pesa zao kwenye theater. Ndio maana movie za kina Tyrese zinatesa kwenye theater duniani. Huo utaamu wa ma torent haujulikani na wengi na unaweza...
  5. M

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Bongo movie zina stori nzuri kushinda za Nigeria. Kama hujaziangalia sasa unapinga ujinga gani hapa?
  6. M

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Kila ijumaa movie mpya zinatoka Marekani na majimba ya sinema yanajaa. Na hakuna movie ya nje ya nchi inayoonyeshwa. Ndio maana Hollywood iko vizuri. Bila ya kufuata mfumo huo Bongo movie itaendelea kudorora. Thumbs up Makonda. Aliona kinachofanywa Nigeria akaleta idea Tanzania. Ukichunguza...
  7. M

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Na movie haiwezi kuingia sokoni mpaka watu wawe wameichoka kuoona kwenye majimba ya sinema. Kukiwa na maduka yanayotambulika ya kuuza movie hilo linawezekana ila tukiachia movie ziuzwe kwenye makapu haitajulikana movie mpya wala ya zamani. Ujinga wa viongozi wetu ni kupenda safari za nje lakini...
  8. M

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Acheni upinzani. Movie ni lazima zidhibitiwe. Huwezi kuenda blockbuster enzi zake au Best Buy ukakuta movie ya kinigeria. Ukitaka movie ya kinigeria uende stoo za wanigeria. Sasa kwa Bongo kwanza kuuza movie mitaani ndio ujinga unapoanzia. Wanalipa kodi hawa wamachinga? Halafu wana na nyodo ya...
  9. M

    Tanzanian broadcaster suspends staff for publishing fake news about Donald Trump

    Inakuwaje post hii haijafutwa. Hii Jamii Forum inatawaliwa na mijitu ya CHADEMA. Na hampati nchi labda muhamie Uganda.
  10. M

    Unanunua Ndege, Waalimu hawajalipwa Miezi 5!

    Watu waliozoea bodaboda utawajua tu.
  11. M

    Mwakyembe: Upelelezi juu ya kutekwa kwa Akina Roma umekamilika

    Yote tisa kumi ni baada ya Roma kuna mwingine aliyeachia singo yake ya namna ile[emoji23][emoji23][emoji23]
  12. M

    Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

    Sikiliza usalama wa taifa ni idara inayojitegemea. Maamuzi yao si lazima yapitie kwa rais. Siku waliyomtoa Trump jukwaani mzega mzega hawakumuuliza tukutoe au vipi. Wewe ukifanya lana yako wajomba wakimind wanakushughulikia tu.
  13. M

    Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

    Vitu vya kuiga vina madhara. Marapa wa Marekani hawaishi jela na haya mambo yaliyomtokea Roma kwao ni kawaida. Msifurahie kutukana tu gharama za kutukana hamuziwezi.
Back
Top Bottom