Hii ni kweli kabisa.
JF App mpya ina ugumu kwa msomaji/mchangiaji. Mfano ukitaka kusubscribe post ili uipate kwa urahisi utakapohitaji kuisoma tena haiwezekani.(Au hili tatizo lipo kwangu tu? mwenye kuelewa anisaidie)
Pia zile post nilizosubscribe kwenye JF App ya zamani nashindwa kuziona...
Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.
2 Wakorintho 9:7
Habari,
Nauza gari aina ya Rav4 milango mitano. Ipo katika hali nzuri kwa bei ya Tsh. 7m na maongezi yapo.
Gari ipo Kimara Dar es salaam wasiliana nami kwa simu no 0713227823 au 0756844197
Karibuni sana.
Habari,
Nauza gari aina ya Rav4 ipo katika hali nzuri kwa bei ya Tsh. 7m na maongezi yapo.
Mawasiliano ya simu ni 0713 227 823 na 0756 844 197
Karibuni.
Habari,
Nauza gari aina ya Rav4 ipo katika hali nzuri kwa bei ya Tsh. 7m na maongezi yapo.
Mawasiliano ya simu ni 0713 227 823 na 0756 844 197
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.