Recent content by msanawa

  1. msanawa

    JamiiForums Tanzania Tanzanian traditional local foods

    Ni "uboho" mkuu[emoji846][emoji846][emoji114] Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
  2. msanawa

    JamiiForums Tanzania Nature preserved! Only for nature lovers

    ... Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
  3. msanawa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania auawa kwa kuchomwa visu nchini Afrika Kusini

    Kwanini wanaitwa "last number" !!!??
  4. msanawa

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ungekuwa Mwalimu wa mafunzo Jeshi la Polisi ungemfanya nini

    Huyu hakuelewa swali, ndio maana amelijibu kwa kujiamini akiamini amelielewa swali.. Coz kwa accuracy hiyo ya shooting angeelewa swali bado angefanya vizuri( Kiufupi hakueleweshwa yupi ni yupi, lakini shabaha anayo)
  5. msanawa

    JamiiForums Tanzania Weka picha yoyote ya movie wakutajie majina

    Ya mwisho ni Escape from Sobibor
  6. msanawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

    Alikosa wa kula nae na kuengea nae kweli!? Una maongezi gani chanya ya kumuongezea japo mia mfukoni mtoto wa form 4!? Kiufupi mtoko uliutamani but ukawa bahili wa kipochi manyoyaa
  7. msanawa

    JamiiForums Tanzania Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

    Maisha aliyojitolea kuyaokoa ya watu zaidi ya 20 yana thamani kuliko hata PhD.. Tusipojifunza kutiana mioyo kwa mambo mema tutaelekea kule kwenye kuwa wachawi bila tunguli...
  8. msanawa

    JamiiForums Tanzania Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

    Tuwekee pia tofauti ya miaka na chanzo cha taarifa ili nasi tujihakikishiee, ndio hulka ya wasomi
  9. msanawa

    JamiiForums Tanzania JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Duuh, umenikumbusha mbali sana kaka.. Mimi ni miongoni mwa wanafunzi wachache kutoka Shybush tulioruhusiwa kuhudumu ndani ya brass band
  10. msanawa

    JamiiForums Tanzania Mbinguni kutakuwa sehemu ya aina gani? Watu watakuwa wanafanya nini?

    We jamaa umenivunja mbavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. msanawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

    Ukiangalia kwa lakini media nyingine hizo ziliwahi kufungiwa kwa muktadha wa kisasa na si wa kimaadili.. Kimaadili is revesable but wa kisiasa ni other issue hasa kwa African countries
  12. msanawa

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Maisha lazima yaendelee, ujana maji ya moto
  13. msanawa

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

    Cha hakika na nilichokiona na kukishuhudia ni uhatari wa kula ndizi nyingi hasa zile ndogo ( kisukari) na Coca-Cola, unakufa huku unajiona, yule mtu ashukuru alitokea mtu akatoa wazo la kula karanga mbichi na dagaa pamoja na mafuta ya kula akaanza kutapika, hata hivyo alipata nafuu akaenda...
  14. msanawa

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutokuwa na Corona katika taarifa za dunia kumewachengua wazungu

    Heri aenezae habari njema na zenye tija, sasa ulitaka aeleze mapungufu ili iweje.. Mwenzako kaona mema kayasema, wewe unayeona mabaya yaseme na uyatolee ufumbuzi basi
  15. msanawa

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Musoma, Hongera Rais Magufuli kwa kutoa hela. Haikujengwa tangu Nyerere

    Hospital ilipangwa kujengwa tangu miaka ya sabini bali haikujengwa mpaka awamu ya Magufuli, hizo awamu nyingine wananchi walikuwa hawalipi kodi!?? Je, kushukuru ni tabia njema au mbaya!? Unapokula chakula nyumbani ukasema asante kwani sio haki yako kula!? Kushukuru ni tendo jema na la kutia moyo..
Back
Top Bottom