Uko sahihi mkuu, af anaesema ufaulu mdogo anakichaa cha uzazi mfano mimi nmesoma PCB na matokeo yang phy~D, Chem~B+, bios~B nko st joseph dar, na nmegundua wanaoropoka ndo wanaufaulu duni albahatisha so anataka aheshmike kwa maneno, tatzo nafas haztosh af wengne walichagua hvi vyuo bila kujua...