Ule msafara wa rais wa kwenda kuchukua form ya urais kwanza alitembea na watu wake sijui aliwatoa wapi 7bu wanadodoma tulikuwa tunashangaa Hawa wageni wametoka wapi kwenye msafara wake alikuwa na mabasi 13 hayo yalikuwa yamejaza watu na alikuwa na v8 land kuruza 130 na pikipiki za usalama 100...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.