Serikali inafanya nini na hili tatizo la ajali? au mpaka ndugu wa viongozi wafe kwenye ajali kama hizi ndio wataanza kushughulikia? Inasikitisha kuwa japokuwa barabara ndogo lakini sheria hazifatwi kabisa. Someone need to go to jail. Waziri wa mambo ya ndani anatakiwa ajiuzuru mpaka sasa hivi...
kanisa linatakiwa kuendelea kuelimisha wananchi jinsi gani wataondokana na umasikini kwa kupata watu wasio na choyo. Viongozi wa mifano na siyo Chadema au C.C.M. au udini. Nini ni haki ya Mtanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.