Recent content by MSALAGAMBO

  1. M

    Mwaka 2010 Bulembo aligombea Udiwani akakosa

    Nashauri vya siasa viwe makini wakati vinafanya uchaguzi wa ndani. Bulembo alikuwa na CV zipi hadi mkamkabidhi wadhifa huo azimu. Hivi Bw. Bulembo baada ya kumaliza elimu yako yako ya msingi hapa Musoma uliendelea na masomo au ulianza biashara zako ambazo si mbaya nikiziita zilikuwa za...
  2. M

    Mwaka 2010 Bulembo aligombea Udiwani akakosa

    Huyu Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi CCM wala siyo mtu wa kumzunguzia. Labda nyie ambaye hamfahamu asili yake. Lakini kwa wakazi wa Musoma waliokuwa kwenye miaka ya 1990 - 2000. Ukimzungumzia Bulembo watakushangaa. Eti amefika CCM anaoneka mali!!!. Musoma tunamfahamu vilivyo, wala hatuhangaishi.
  3. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Wanajamii hususani watu wenye ulemavu. Naomba tuchangie mada kuhusu huyu Bw. Amon Mpanju. Yeye sawa ni mwenyekiti wa SHIRIKISHO la Vyama vya Watu wenye ulemavu. Bwana Amon mara nyingi amesikika akitoa kauli ambazo haziendani na Katiba mbalimbali za Vyama vya Watu wenye ulemavu. Katiba zetu...
  4. M

    Ishara ya Vidole viwili ni sababu ya Manny Pacquiao Kupoteza pambano lake dhidi ya Mayweather

    Hapa jamii forum ama kweli kuna vichaa wengi. Mleta mada nadhani ana tatizo la ubongo. Kila kitu kwako ni siasa tu. Narudia tena hii yote inasababishwa na division 5!!!
  5. M

    Amon Mpanju:Tume ya Jaji Warioba haikuongozwa na Weledi

    Amoni Mpanju, mbona umejisahau. Maharage kidogo uliyokula kula kwenye Bunge la Katiba yamekufanya uvumbewe! Unadai tume ya Jaji Waryoba haikuwa na weledi. Ukiwekwa kwenye mzani wewe na Waryoba, Polepole, Butiku na wengineo waliokuwa wajumbe wa tume. Kweli utathubutu. Acha ujinga...
  6. M

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Tatizo la watu wengine sijui ni upofu wa fikra au umbumbu! Jamii forum ni uwanja wa kuelimishana. Kwa wengine imeonekana ni sehemu ya kufanyia uzushi. Jamani tumieni uwanja huu kwa kuelimishana. Hasa divisheni 5 wanasumbua sana humu. Wakitoka kwenye bangi na viroba inakuwa balaa.
  7. M

    Katiba pendekezwa

    Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
  8. M

    DailyNews,Habari Leo na TBC acha kutumia kodi zetu kunyanyapaa vyama vya upinzani na kupendelea CCM!

    TBC mnatushangaza sana sisi wasikilizaji wenu. Mmnashindwa nini kuwahabarisha watazamaji/wasikilizaji wenu mbalimbali kuhusu masuala yanayojitokeza katika nchi yao. Vyama vya upinzani hamtangazi kabisa habari zao hata wakifanya mkutano wa kitaifa, TBC haitoi kabisa habari zao. Lakini...
  9. M

    Lissu: Wassira alimkimbia Nyerere kwenda NCCR, baada ya kufa akarudi CCM

    Mhe. Wasira alipokuwa wilayani Bunda wiki iliyopita aliongea mambo ambayo kila mwenye akili alimshangaa. Naamini kabisa usemi wa Mzee Warioba alivyosema kuwa yeye ni CCM damu si CCM maslahi. Wasira nani asiyekufahamu hapa Mara. Ulivyojiunga na NCCR - Mageuzi uliokuwa unatafuta nini. Leo hii...
Back
Top Bottom