DailyNews,Habari Leo na TBC acha kutumia kodi zetu kunyanyapaa vyama vya upinzani na kupendelea CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DailyNews,Habari Leo na TBC acha kutumia kodi zetu kunyanyapaa vyama vya upinzani na kupendelea CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanyagio, Mar 22, 2012.

 1. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kwa masikitiko makubwa naomba kuwasilisha hoja na kukemea tabia chafu inayoonyeshwa na vyombo vya habari vilivyo chini ya serikali ambavyo ni Daily News, Habari Leo na TBC kwa Kukandamiza upinzani na kupendelea CCM. natoa mifano michache kudhihirisha hoja yangu:
  1. Daily News hawatoi taarifa za mikutano ya kampeni ya vyama vya upinzani hasa CHADEMA hata mara moja.
  2. Daily news inabandika picha za mikutano ya CCM kana kwamba CCM ndo inaendesha kampeni peke yake huko Arumeru Mashariki.
  3. Habari Leo wenyewe daima wanatoa taarifa hasi kuhusu CHADEMA; na wakati huo huo hawatoi taarifa zinazohusiana na uchafu wa CCM.
  4. TBC kupitia kipindi chake cha magazeti cha kila siku asubuhi wameamua kuacha kusoma habari yoyote inayohusiana na negative side of CCM; na wakati huo huo kusoma magazeti yanayoa taarifa hasi kuhusu vyama vya upinzani. KWa mfano jana walisoma magazeti ya UHURU, HABARI LEO na Zanzibar leo. kwa mfano gazeti la mwananchi la tarehe 20 March 2012 lilikuwa na habari yenye kichwa cha habari "Kanisa Katoliki lamshukia Wassira kuhusu Dk Slaa" lakini halikusomwa na badala yake wakasoma uhuru na mengineyo

  Vyombo hivi mnatumia kodi za wananchi kwa hiyo fuateni professionalism.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ---- hakuna kitu hapa. Kama hawana cha kuripoti kuhusiana na CHADEMA unataka waripoti fujo na matusi yao?

   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mental case!
  mental_disorder.jpg
   
 4. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  mkuu,hupaswi kupoteza nguvu yako kuzungumzia suala hilo,ni suala la mfumo tu!hivyo ni vyombo vya serikali,serikali iliyotokana na ccm,automatically bosi wao anakuwa ccm,hivyo siku moja serikali itaundwa na chama kingine,na hicho chama kitakuwa bosi wao pia!ni mfumo tu!na hata polisi,ma-dc,ma-rc wote ni hivyo tu!
   
 5. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  i tend to disagree with you. siyo suala la mfumo;
   
 6. M

  MSALAGAMBO Member

  #6
  Oct 27, 2014
  Joined: May 6, 2014
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC mnatushangaza sana sisi wasikilizaji wenu. Mmnashindwa nini kuwahabarisha watazamaji/wasikilizaji wenu mbalimbali kuhusu masuala yanayojitokeza katika nchi yao.

  Vyama vya upinzani hamtangazi kabisa habari zao hata wakifanya mkutano wa kitaifa, TBC haitoi kabisa habari zao. Lakini Mwenyekiti wa Mtaa akiongea hata jambo dogo mtalitangaza kuanzia asubuhi hadi jioni.

  Imefikia hatua sasa ya wananchi walio wengi hawaangalii taarifa ya habari ya TBC wala kusikiliza habari toka kituo chenu. Hali hii ni hatari kwa taifa. TV/Redio ya Taifa inaposusiwa na wananchi ni hatari. Acheni tabia ya kumtumikia kafiri ili upate mradi wako. Bw. Mshana jifunze toka kwa Mzee Tido Mhando. Wanajamii mnalionaje hili?
   
 7. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2014
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Television Biased to Ccm
   
 8. Buldoza

  Buldoza JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2014
  Joined: May 2, 2013
  Messages: 2,303
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nilishaiondoaga hii katika televisheni za kuangalia pamoja na kuifutilia mbali clouds fm kwenye redio za gari zangu.
   
 9. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2014
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni kweli. Hata mimi jana nilishangaa wakati wa taarifa ya saa mbili usiku wakiwa kimya kuhusu yaliyotokea jangwani. Ni ajabu kubwa hii.
   
 10. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2014
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Acha tu mkuu, muda unaelekea kufika wa ukombozi wa pili.
   
 11. aye

  aye JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2014
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  mkuu bado unaangalia iyo tbc na kusoma magazeti hayo
   
 12. j

  jmaye Member

  #12
  Oct 27, 2014
  Joined: Oct 13, 2014
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namiaka 2 sijaangali tbc.
   
 13. g

  giiti junior Senior Member

  #13
  Oct 27, 2014
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Una matatizo ya akili au? Au hujui unavyotumika vibaya? Kusoma hujui hata picha huioni?
   
 14. Gor

  Gor JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2014
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 2,794
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  yatakwisha hayo...mbona karibu tu.
   
 15. G

  Gambabovu JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2014
  Joined: May 17, 2014
  Messages: 297
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tbc imeishiwa fikra nn!mmesau ya gadafi sio?
   
 16. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2014
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Mshana hana jeuri hiyo.
   
Loading...