*MAAJABU YA SIASA ZA BONGO*
Ni Bongo pekee ambapo viongozi wa *Chama Tawala* ambao badala ya kuisimamia Serikali na Viongozi wake ili watimize majukumu yao, wao kazi yao ni kusifu tuu kwa nyimbo na mapambio. Wao kila kitu ni 100%. Wamejitia hofu ikawaingia mpaka wakasahau kuna *Chama kushika...
MAAJABU YA SIASA ZA BONGO
Ni Bongo pekee ambapo viongozi wa Chama Tawala ambao badala ya kuisimamia Serikali na Viongozi wake ili watimize majukumu yao, wao kazi yao ni kusifu tuu kwa nyimbo na mapambio. Wao kila kitu ni 100%. Wamejitia hofu ikawaingia mpaka wakasahau kuna Chama kushika hatamu...
mkuu nakubaliana na wewe kabisa ni wakati muafaka wa uongozi wa chadema kuacha unanaharakati ktk suala la kushughulikia maisha ya mhe. TL.
Bunge ni taasisi inayoongozwa na sheria na taratibu. Upo utaratibu uliopitishwa na Bunge wa kushughulikia afya za waheshimiwa wabunge wote. hii yahusu...
wakatu mheshimiwa huyu anatangaza kugombea urais wa TLS tulionya kuwa tuangalie uwezo wake wa kubeba majukumu hayo .. diplomasia yake, uwezo wa kuongoza, uwezo wa kutoa dira n.k. na wengine wakapuuza hayo. Naamini sasa wanajutia hilo maana kama kiongozi tena wa ngazi yake unapaswa kuchuja yote...
wakuu mimi siku zote nilikuwa naamini huyu mtu ni mtumishi wa Mungu ambaye sipiritually ni mwenye kumuwakilisha yule anayemuamini na kumtumikia. msingi mkuu wa ukiristo ni upendo na kusameheana, hivi ndivyo alivyofanya Yesu Kristo ... kusamehe wote waliomkosea yaani kina Yuda na waliomsurubu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.