Recent content by Msajili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge 8 na madiwani 2 wa CUF waliofukuzwa, Warudishiwa Uanachama hadi kesi ya Msingi itakapotolewa Uamuzi na Mahakama

    Je kuna order ya Mahkama kutengua uteuzi wa wale wabunge wengine wapya? Na je kuna order ya kufuta kiapo chao walichoapa mara baada ya kuteuliwa. Kama order hizo hazipo wabunge hao nane wa Zamani wataweza kurudi bungeni?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baba wa taifa kupata Mabusu mubashara, hili limekaaje?

    Ni Wajukuu zake, mmoja hapo ni mtoto wa Pili wa Anna Nyerere.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Geoffrey S. Wasonga, aliyefungua kesi ya kupinga uchaguzi wa TLS ni nani?

    Kwa post yako inaonyesha hakuna Shaka yeyote ya usomi wake, Umesema Tabora Boys, Tambaza na UD ametumia jina la Elia William.. Tatizo lake ni kubadilisha jina. Je kuna kosa lolote mtu kubadilisha jina Kama taratibu zote za kisheria zimefuatwa? Naona kesi hii ni tofauti sana na ya Bashite.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dr Shein amemuapisha Jaji Mkusa Issack Sepetu kuwa Naibu Jaji Mkuu wa Zanzibar

    Ameapishwa kuwa Kaimu Jaji Mkuu, siyo Naibu Jaji Mkuu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dr Shein amemuapisha Jaji Mkusa Issack Sepetu kuwa Naibu Jaji Mkuu wa Zanzibar

    Wote wamesoma urusi yeye na Amani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza operesheni ''Kata Funua''

    Haya ni matumizi mabaya ya Ruzuku
  7. M

    JamiiForums Tanzania MAHOJIANO MAALUMU: Jussa asema CUF iko ngangari

    Watu wa Visiwani wanasema Jussa ni Bwabwa!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    Huyu ni yule wakili wa watuhumiwa (Uamsho) wa Kesi ya Ugaidi, inaonyesha yale yaliyokuwa yakisemwa kuwa uamsho ni CUF yana ukweli.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    Kesi imefunguliwa na Bibi Yule na mashoga zake.. tusubiri episode 2
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    Nasubiri yatokee Kama Yale ya Kesi ya tafsiri ya Mita 100... sijui CUF Seif watakimbilia wapi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama Msajili anamtambua Lipumba kama mwenyekiti wa CUF,Kwanini tovuti yake alimuweka Twaha Taslima

    Hapo waulizwe wanaomanage hiyo website walipewa maagizo na Nani kuweka hizo info kuwa Taslima ni kaimu Mwenyekiti, na baadae nani kawatuma wabadilishe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Wanasema Lipumba amejiuzulu katika tarehe aliyoandika barua, na Uwenyekiti wake ulikoma siku hiyo. Leo kusema kuwa alikuwa na mamlaka ya kuitisha Mkutano Mkuu ni kujichanganya, mamlaka hayo ametoa wapi? Na Kama bado alikuwa na mamlaka hayo basi hoja ya Lipumba kuwa Mkutano Mkuu haukuwa halali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Nimesoma yote, Nime quote kipande hicho ambacho Maalim amejichanganya.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Hapo naona Maalim Seif anajichanganya.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Tume ya Utumishi ya Mahakama (kama unavyoiita tume ya ajira) ipo siku nyingi kabla hujazaliwa. Tume hiyo haikuanzishwa Kwa sababu ya Lissu, ipo kikatiba!
Back
Top Bottom