Recent content by msafiri2017

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Hapa suala sio ndoa ya kanisani,hapa wewe mwenyewe ulikosa muda wa kumjua mkeo mapema anazo tabia zipo, pili ulitakiwa uweze kumfundisha mapema kuwa maisha ya ndoa huwa tunaishi hivi na sio kukaa kimya,mpaka pale mmeingia ndani ya ndoa,nakushauri usikae kimya mwambie majukumu yake ni yapi (basic...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natamani mtoto ila sijapata wa uhakika wa kuzaa nae

    Habari ya leo,sio kumuombea tuu yeye binafsi anatakiwa aombe pia maana unapomueleza Mungu Hitaji lako yakupasa wewe binafsi kuomba pia maana ni yeye na Mungu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

    Nani kakudanganya kuwa mchele umeshuka bei
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Paulo alikua mtume na nabii wa Mungu katika kipindi cha kanisa la laodekia,Paulo hawezi jisemea yake lah!upo pia ushauri wake pale chini ukimaliza verse 5 utaona ushauri wake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Paulo hakua na mtazamo wake binafsi ndio maana Neno la Mungu sharti lije kupitia MANABII ndipo wewe ulipate
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Hofu lasima iwepo maana hofu sio uwoga not at all hofu ni pale unapoona ukifanya jambo fulani ambalo sio sawa ndio panakua na masuala mengi maana tayari hofu ipo ili usimkosee Mungu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natamani mtoto ila sijapata wa uhakika wa kuzaa nae

    Unaweza kuniambia unataka ushauri gani I am ready to advice even if ni wa ndoa I am ready
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Rafiki,upo utaratibu wa kuchumbia mke sio kutiana Mimba!!angalia isaka alipotaka kuoa,hapo utaona utaratibu,kutiana mimba huo ni uzinzi na hata mkienda kanisani mchungaji au kasi si yeyote hawezi kukufungia ndoa maana ulishaoa tayari. Ili ujue ndoa ipo wapi -: 1.Ni pale unapotongozana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Mume wa mwanamke mwingine akikupenda na wewe ukawa nae huo ni uasherati tayari na hakuna maisha ya mume na mke hapo,huyo ni mume wa mtu mwingine na hata maandiko yanasema katika 1wakorontho7:1-5 soma hiyo itakusaidia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Upendo upo na sio moyoni,moyo hufa lakini nafsi I hai na ndimo upo upendo wa kweli na wa dhati kabisa. Na sio upendo wa tamaa ya mwili
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Hakika wapo na wa naishia, wewe ukisema hawapo mm ninakuhakikishia ya kuwa wapo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natamani mtoto ila sijapata wa uhakika wa kuzaa nae

    Kuna ushauri unaweza utoa hapa upenuni,na ushauri mwingine sio wa kuweka wazi na ukweli uliopo private ni nzuri pia itakua so strong kwake kuweka uamuzi mkamilifu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Wewe Dada kama ni mkweli na ni mnyoofu,wa moyo utapata Mume mwenye hofu ya Mungu ya kweli,lkn kama utaguswa na huyu na yule it will be tidious to have the real one for the life na ukimpata mtakaa muda mfupi sana kwenye ndoa na mtaanza mitafaruku
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

    Muombe Mungu akupe Mume ambaye atakua wako tuu
Back
Top Bottom