Recent content by Msafiri Kasian

  1. M

    Mali Vs Tanzania | 2025 Women’s Africa Cup of Nations | Group C | 07.07.2025

    Naomba mwenye link ya kucheki hii game ya Twiga Stars
  2. M

    Waziri wa elimu lingalie hili la walimu hasa wa Primary kutoza pesa kila siku eti ni mitihani

    Hakika mbuzi wa maskini hazai. Na kama unadhani elimu ni gharama, embu jaribu ujinga tuone. Elimu bila malipo imekupumbaza, na sasa umekuwa huna msaada kwa badae ya mwanao. Useless kabisa. Ukiwa kama mzazi unayejitambua, shirikiana na wazazi wenzio na bodi ya shule anaposoma mwanao, kisha...
  3. M

    MANGUNGU: Niliwaahidi mashabiki wa Simba kuwa tutaifunga Yanga, hivyo hawanidai

    Tatizo sio mashabiki, tatizo uongozi. Hivi hawa viongozi waliwezaje kumleta Manzoki kipindi kile wanatafuta kura ili kushibisha matumbo yao badala ya kuwa wamemsajili wakati wa dirisha la usajili? Inamaana walimleta u tuone wao ni miamba kumbe ujinga mtupu.
  4. M

    MANGUNGU: Niliwaahidi mashabiki wa Simba kuwa tutaifunga Yanga, hivyo hawanidai

    Mjinga mmoja anayejali matumbo yake tu 🚮🚮
  5. M

    Msaada: Kudownload zuma deluxe na revenge free

    Nami naomba hii kama kuna mwenye jinsi ya kupata. Asante
  6. M

    Chanzo cha kufanikiwa kwenye maisha ni bahati, connection, mipango au Mungu?

    Majibu yote yanaweza kuwa sahihi, lakini BAHATI pia ni nguzo muhimu sana katika mafanikio. Mfano kuna dogo mmoja tarehe 1 January 2023 kabeti kwa buku 2 akashinda 6 mil. Kama sio bahati ni nini?
  7. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nikipata hizi ndo ntaanza kumkalisha kanji, mtaji tu niupate kwa stake low
  8. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio kuvuta tu, na anauza pia. Na sio sigara tu yeye unakuta anatumia na kuuza hadi ganja. Alafu unakuta kwenye sigara kaandika 'UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO'
  9. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukrani sana mkuu Msweden , mkeka umechanika lakini upo vizuri. Ule wa jana ulitiki, wala sijutii kufuata mikeka yako. Kwangu wewe ndo the best, big up bro.
  10. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usichoke kushare mkuu, kwani wewe ni wa kwanza mkeka wako kuchanika? Mtu akitaka aufuate, asipotaka auache. Kwani kuna asiyejua anatakiwa kustake anachoweza kukubali kuloose? Achana nao hao
  11. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah! Kweli simba saivi sijui shida nini, ule uwanja kwa timu za ndani humu pamekuwa pagumu sana. Magoli mengi shida, labda leo sijui
  12. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilitembea na huo (ii) naona zimechana 2 nadhani, uko vizuri Mr Miyagi
Back
Top Bottom