Recent content by Msae-Marangu

  1. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Ulichosema Ni kweli na kina mantiki Sana! Mpaka Sasa hii ni kero kubwaaaa Sana kwenye MUUNGANO wetu! Wanzanzibar wanaruhusiwa kupata na kumiliki ardhi kwa ukubwa wowote huku bara, wanaruhusiwa kujenga na kufanya watakalo lakini watanganyika haturuhusiwi kumiliki ardhi wala kujenga Zanzibar...
  2. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Nimeona kitu pale JKNI. Je, inawezekana hilo?

    Ngoja tuone!
  3. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuruhusu nchi ya Rwanda kumiliki kinu cha Nyuklia

    Rwanda hakuna kelele kwasababu Paul Kagame ana akili,,,, usidhani ameingia nao mkataba wa ovyo Kama wa huyu Mama!! Usimfananishe Kagame na vitu vya kipuuzi..!! Na sio Rwanda tu hata uingereza Dp world wapo, tatizo sio kuwepo nchi fulani,,, tatizo ni mkataba wa ovyo!! Uingereza na Rwanda wana...
  4. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Medard Kalemani & Tito Mwinuka: Collaboration Iliyoongoza TANESCO kwa Mafanikio Makubwa

    January Yusuf Makamba ameharibu sana Tanesco ,,, Na huyo mwenzake Maharage Chande kwakeli ndio Maharageeeee kabisaaaa!! Naona mama samia ameshaona hali halisi na amekubali kushindwa kwa watoto pendwa wake wakina Makamba,,, mpaka kuwarudisha sukuma gang kazini wakina Doto Biteko maana yake...
  5. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Medard Kalemani & Tito Mwinuka: Collaboration Iliyoongoza TANESCO kwa Mafanikio Makubwa

    Kwani Doto Biteko anatokea wapi?! [emoji849][emoji848][emoji850][emoji42]
  6. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuruhusu nchi ya Rwanda kumiliki kinu cha Nyuklia

    Mbona hata Uganda wana mpango Kama huo?! Kenya nao nikisikia wanapanga kujenga vinu vya kinyuklia sijui mpango wao unaendeleaje?! Tanzania miaka Fulani ya nyuma kupitia bodi ya kuthibiti mionzi ya kinyuklia Kama sikosei , walikuwa na mpango Kama huo kujenga kinu Cha kinyuklia wakisema...
  7. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania RC Mbeya asitisha Posho kwa Watumishi wote wa Halmashauri

    Homera huwa ana mihemko sana, fuatilia historia yake hapo mbeya utagundua kitu, Huu ni uonevu, posho za wafanyakazi hao ziko kisheria yeye Kama mkuu wa mkoa kafuata sheria ipi inayomruhusu kuchukua posho za watu na kupeleka kwenye miradi ya kiserikali?! Anataka aonekane mzuri kwa Rais kumbe...
  8. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

    Safi kabisa, Siku hizi nimeona heri hata nitoe kwa yatima, wagonjwa mahospitalini, masikini wenye uhitaji mbalimbali, wajane maskini na hata wafungwa magerezani,,,!! Kuliko hawa wanaotoza hela nyingi sana huku wao wanaenda kujenga majumba ya kifahari na kununua magari ya gharama kubwaaaa...
  9. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

    Sasa si bora wewe Mkatoliki uliambiwa utoe hiyo 25,000/= Mimi Mlutheri (KKKT), niliambiwa mwanangu atoe 70,000/= ili aweze kupata kipaimara mwaka Jana, nilishangaa Sana!!! Nikahoji hiyo elfu sabini yanini?! Kwani kupata kipaimara ni biashara?! Wakajibu atapewa biblia Kama zawadi?! Sawa...
  10. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mzee Kipusa

    Hebu tukumbushe tena hiyo tiba ya chumvi mkuu?!
  11. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mzee Kipusa

    Sasa unamshauri afanye nini mkuu?! Pengine ushauri wako ukawasaidia na wengine pia?!
  12. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Aisee Dharau Zimezidi (ujobless kazi sana)

    Nakazia hapa! [emoji3516]
  13. Msae-Marangu

    JamiiForums Tanzania Jumatatu ya tarehe 7.8.2023 yaweza kuwa siku ya hukumu ya kihistoria Tanganyika

    @Mshana Jr mtani wangu, natamani sana iwe hivyo! Natamani tuone mahakama inakuwa huru kama mahakama na kutoa hukumu kwa haki na uhuru! Tuendelee kumuomba aliye juu ya vyote, huenda tukaona maajabu!
Back
Top Bottom