punguza munkari tetea ukweli wa moyo usidhani kama babu yako asingekuwa mwadilifu we ungezaliwa.Wazazi wako huenda wangekuwa mateja.Panuka akili think twice hali ikiwa hivi miaka ya karibuni itakuwaje.
Mi nadhani hatuelewani kumpongeza waziri si vibaya ila kulikuwa na haraka gani kututangazia walinzi wakati uchunguzi umefanywa? Tulitegemea mizizi ya madawa ya kulevya ikatwe we unadhani kwa kuwafukuza walinzi kazi inasaidia nini? kesho utawekwa wewe na mfumo mzima utakumeza utayapitisha madawa...
sijakataa ila haisaidii ni sawa na mwenzake Magufuli anavizia wavuvi baharini na ziwani na kuchoma nyavu zao wakati viwanda viko humuhumu na vinatoa nyavu zenye usawa uleule then tuuite uchapakazi! NO hiyo ni danganya toto.
Sishangai sana kwani kwa Akili ulizonazo unadhani mtu mwenye mnvi ndo mwenye akili! thats why unaangalia mtu kajiunga lini. ila kwa mtu timamu huwezi danganyika.
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.