Recent content by MsA11

  1. MsA11

    JamiiForums Tanzania Hivi TMA mnajua sana kiingereza!

    Nadhani wewe ni wale mnaoshindwa kutafsiri lugha kwa njia fasaha na badala yake mnafanya tafsiri sisisi. Level of confidence kwa muktadha huo ni kiwango cha uhakika au kwa kifupi "uhakika wa utabiri" husika, ambapo wao wamesema ni asilimia 70. Nyie ndio mkiona maneno "go on" mnasema maana yake...
  2. MsA11

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa kutisha ambao ungejulikana ungeiacha dunia mdomo wazi kipindi cha Mwinyi Ally Hassan

    Wewe ulikuwa wapi wakati hayo yakitokea?
  3. MsA11

    JamiiForums Tanzania Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

    Unaelewa maana ya neno "kamwe"?
  4. MsA11

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    GGMU
  5. MsA11

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Lile goli teknolojia nayo inasaidia sana, mtu unaweza kataa
  6. MsA11

    JamiiForums Tanzania Serikali na TRA, mnaweza kuwezesha utoaji wa risiti za VAT kwa njia ya mobile SMS. I stand to be corrected

    Nimependa wazo lako, natumai TRA wapo humu
  7. MsA11

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Shukran sana mkuu
  8. MsA11

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Mkuu UCL leo link yake
  9. MsA11

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Mkuu kwanza naheshimu sana mchango wako kwetu. Mimi nilikuwa sijajua kama huu uzi ni wa kudumu ila naona sasa ni wa kudumu na wa uhakika. Basi naomba kama hutojali uwe una tutag unapotoa post japo nasi tutajitahidi kuhudhuria regularly. Mwisho kama kuna uwezekano wa mechi za ligi kubwa zote...
  10. MsA11

    JamiiForums Tanzania Je ni jengo gani au mradi gani ambao ni signature project ya architects wa Kitanzania?

    Na ukishindwa elekeza basi wewe sio Architect
  11. MsA11

    JamiiForums Tanzania Je ni jengo gani au mradi gani ambao ni signature project ya architects wa Kitanzania?

    Alama ipi unayomaanisha mkuu. Maana kwa mfano kuna picha ikipigwa kwa mfuatiliji (kwa baadhi ya mikoa) atajua hii ni wapi mfano ile ya samaki mwanza, zile dizaini za round-about za moro, dom na Arusha hata kama hujafika unajua hii mkoa fulani japo ni mikoa michache
  12. MsA11

    JamiiForums Tanzania Nchi kumi bora kwa askari wake kula rushwa Africa, iangalie Tanzania kama ipo

    Polisi vs Diwani Najaribu kutafuta uhusiano
  13. MsA11

    JamiiForums Tanzania Serikali: Marufuku kupiga kelele Maeneo ya Makazi!

    Sawa, umesikika
  14. MsA11

    JamiiForums Tanzania DAR: Imamu Msikiti wa Kimara asema wanawaachia TANROADS kubomoa Nyumba ya Allah

    Na ndio maana wao hawajakaa kubomolewa ila wamesema wao hawawezi kubomoa na wakaomba baada ya zoezi hilo wapewe eneo lingine wajenge, kama uliona Azam News
  15. MsA11

    JamiiForums Tanzania Simshangai Pasco wa JF tu; hapana, nawashangaa waandishi wote wa habari popote pale mlipo nchini!

    Nilitegemea ujibu kutokana na swali, kuwa una hakika au umeandika bahati mbaya ila cha kushangaza umeanza kwa kunishambulia japo mi huwa sina kinyongo na watu kama wewe. Hapo kwenye picha askari wanaonekana wame-concentate na kitu kingine kabisa na sio hayo mabaki, nitafsirie hapo maana ni...
Back
Top Bottom