Are you between the age of 18-30 and leaving in Dar-es-Salaam plus having passion of volunteering locally and internationally and engaging in community service works? Rotaract has it all....feel free to contact me for more info and signing up.
Kuwa makini kaka! Inaonekana dada anataka pa kupumzika maana kwao hali duni na kumwendeleza hawawezi....vipi wakitokea wajanja wa mjini waliokuzidi uwezo?! We ndo unamjua alivyo na kama she's a wife material....kazi kwako!
Range ni we mwenyewe how do you want your plate to be! Cha 7k kipo, 20k kipo, 50k kipo, 100k kipo, 5k kipo pia! Ni weweeee tu na how deep does your wallet go dear
Samora Avenue ni jina la mtaa ambao unaweza ukakufikisha kwenye ofisi za NHC! Panda basi za posta, shuka posta mpya. Utakapoiona Samora Avenue, nyoosha nayo kama unaenda stesheni mpaka utakutana na hizo ofisi.....au just along the Samora Avenue unaweza uliza ofisi za NHC zilipo, utaelekezwa.
Niliwahi kufanya intern kwenye kampuni moja hapa jijini ya bima as an underwriter....supervisor wangu alikuwa na cheo hicho cha uLoss Assessor.... kwa maono yangu ya mbali, niliona kama inalipa ndio. Itategemea unafanya na kampuni gani. Kuna kampuni zinazosifika kwa kutolipa au kuchelewesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.