Simulizi; NITAWATETEA
Sehemu ya PILI (02)
Mwandishi; MARIAM YAHAYA
Namba; 0744654969
__________________
(Ilipoishia)
Familia yao waliishi kiafrika zaidi kwani ilijaa watu kweli kweli, alikuwepo babu yake mzaa baba, binamu, baba zake wadogo wawili, bila kusahau hao ndugu zake wengine amabao...