Recent content by Ms Euna

  1. M

    Mbowe, mkanye Lissu

    Ngoja tuone mechi yake atafunga magoli mangapi.
  2. M

    Mbowe, mkanye Lissu

    Ingekua ni wewe ndo Kasimu Majaliwa ungeropoka tu Rais kafariki, Tujifunze kufuata utaratibu.
  3. M

    Mbowe, mkanye Lissu

    Dua so matangazo,hata kimoyomoyo unamuombea mtu,naitakua ni bora zaidi.
  4. M

    Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

    Ana kazi zaidi ya unayofikiria,
  5. M

    IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Asante kwa kunirekebisha, nimejifunza, nitajitaidi pia kuzisoma zaidi Sheria ili nizidi kua na maarifa.
  6. M

    IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Asante!kwa kunirekebisha, nimejifunza, nitajitaidi pia kuzisoma zaidi Sheria ili nizidi kua na maarifa.
  7. M

    IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwa mujibu wa katiba hawezi kugombea tena, labda ingekua imebaki miaka chini ya mitatu
  8. M

    Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

    MTAZAMO Mana sijui katiba inasemaje juu ya afya ya anayetaka kugombea Urais. Niugonjwa ulomsumbua kwa mda mrefu Kama wasemavo,na tukumbuke alipitia jeshi na kuweza kuhimili mikiki yote, Ivo nazan pia aliamini ataweza kuongoza vipindi vyake vyote vya uongozi nakusahau wakati unapanga...
  9. M

    Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

    Vitabu vya Mungu vinasema"Penda watu Kama unavoipenda nafsi yako"
  10. M

    Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

    Hakuna ajuaye kesho yetu,ata angeshika ambaye unamini ni mzima wa afya angeweza kufa hata ndani ya mwaka mmoja, Kilakitu ni mipango ya Mungu,tujifunze kushukuru kwa kilajambo
  11. M

    Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

    Zilikuwepo,Ila naye kwanafasi yake amefanya kulingana na ilani inavosema,hivo na Rais mwingine baada ya Magufuli naye naye atafanya kwanafasi yake katika miundombinu kwa kutumia Kodi za wananchi kwa manufaa ya wananchi wake .
  12. M

    Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

    Ndio maana kuna usalama wa taifa, hivyo taarifa za kiongozi tena ngazi ya juu haziwezi kutolewa tu pasi na utaratibu, Mana huwezi jua adui yake ni nani? Na mzuri wake ni nani?
Back
Top Bottom