Ni kweli kuwa mshahara wa kwanza lazima uupokelee mkononi kutoka halmashauri? Namaanisha kuwa mshahara wa kwanza kabisa hauingizwi kwenye account yako?
Hivi na kesho wakituzingua tena kuhusu kutupangia vituo vya kazi tufanyeje? Maana unaweza kushangaa hiyo kesho wakaonekana mida ya saa kumi na kuanza kutupa story kama kawaida yao.
Mbona wenzetu wameshapewa vituo vya Kazi japo ni kweli hawajapewa pesa za kujikimu? Sasa wao wamekalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.