Recent content by mrubwavwasy

  1. mrubwavwasy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Viongozi wa Yanga wapewe salute zao, vita wanayopigana nje ya uwanja kuchukua ubingwa ni ngumu mno🙌🙌🙌🙌 Kuna wachambuzi wa vimemo vya 10k, kuna TFF na baadhi wa wajumbe wa bodi ya ligi welioko connected na 🦍🦍🦍
  2. mrubwavwasy

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Wachina wataiendesha reli ya TAZARA kwa miaka 30 ili kupunguza mzigo kwa serikali

    changamoto! Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu hata kiduchu itakusaidia, hivyo tu🙌🙌🙌
  3. mrubwavwasy

    JamiiForums Tanzania Moshi pameendelea, ni kama Ulaya

    kilimanjaro hakunaga mazombi aka chawa! full hustling yan
  4. mrubwavwasy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TBC1 kuonyesha mechi zipi AFCON 2025?

    😀😀
  5. mrubwavwasy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TBC1 kuonyesha mechi zipi AFCON 2025?

  6. mrubwavwasy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TBC1 kuonyesha mechi zipi AFCON 2025?

    TBC 1 ni rasmi Azam wameiweka kwenye chanels za kulipia! hii nchi kila aliyeko juu yupo juu ya sheria!
  7. mrubwavwasy

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuwa na Strong Vetting, Samia asingekuwa Rais na Mwigulu asingekuwa Waziri Mkuu

    Huyu mzee ni Presidential material sema basi tu nchi imelaaniwa
  8. mrubwavwasy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu anyimwa tena faragha ya kuzungumza na mawakili wake gerezani Ukonga, barua aliyoandika kuhoji mwenendo wa kesi yatumia siku 10 kumfikia Msajili

    Hii ni evidence kubwa kuwa kuna ka group kanaiendesha mahakama kwa remote🙌
  9. mrubwavwasy

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chalamila aliagiza Jeshi La Polisi kuwashughulikia wananchi watakaopinga matokeo ya Uchaguzi ujao wa Serikali Za Mitaa

    Hivi vitisho ni njia ya kututisha tusiende kupiga kura ama vipi!
  10. mrubwavwasy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika

    Sheria kwa nchi gani! Nchi zinazoongozwa kwa misingi ya haki na utawala bora Tz haipo!
  11. mrubwavwasy

    JamiiForums Tanzania TANESCO mmekubali kutumika kudai kodi ya majengo (TRA) kinyume na mkataba wenu? Kwa hili tutawashitaki; Serikali hamna huruma

    Kura yako haithaminiwi, bao la mkono linawapa jeuri wenye mpini
  12. mrubwavwasy

    JamiiForums Tanzania TANESCO mmekubali kutumika kudai kodi ya majengo (TRA) kinyume na mkataba wenu? Kwa hili tutawashitaki; Serikali hamna huruma

    Hii nchi ijinga mwingi sana! Hii kodi sijawah kuilewa, tunaibiwa kindez sana yan
  13. mrubwavwasy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba yamshusha beki wa kati Abdulrazack Hamza (21) kutoka Supersport Afrika Kusini

    Mchoma mahindi super sport united ambayo hata champion ligi inaitafuta kwa tochi ndiyo umlete ligi yenye mambo mengi hii tunayoijua!😀😀
  14. mrubwavwasy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam FC ni vituko, selling kipre Jr for 300k USD. with CAFCL next

    Hata mimi nlishangaa jamaa kuuzwa kwa bei hiyo
Back
Top Bottom