Hivi ni nani aliye huko CCM ambaye sio mwizi?kuhusu Ikulu kutokuwa pango la walanguzi ilikuwa zamani hizo za utawala wa nyerere lkn sasa hivi ni mashaka matupu.angalia wale wote wanaoishi humo walioingia na wanapotoka huwa na ukwasi wa kutisha.mikataba kibao ya wizi ilisainiwa na watu wa huko...
Lissu kasukumwa na hasira dhidi ya msaliti.
Kuhusu kujibu hoja na kuthibitisha kwani Slaa kathibitishaje kuhusika kwa lowasa kwenye Richmond?zaidi kaendekeza chuki binafsi dhidi ya mh.lowassa na pengine hasira za kukosa nafasi ya kugombea urais.
Hoja hapa ni slaa kusaliti upinzani na...
Yaani wewe ndo tutusa kabisa,yani unamfananisha nyerere na Huyu mzee slaa?tena kiuadilifu?hebu nipe japo tuhuma tu ya mwl.nyerere ILA za slaa zipo tangu akiwa CHADEMA kuanzia ishu za tenda,mke wa mtu,kununuliwa na magamba,n.k na mwisho sio sheria kumkubali nyerere kwn itikadi zake hata mimi...
huwezi kuona hoja Kwan hata babu hakuwa na hoja zaidi ya kuja na propaganda zile zile za kijani.Ni aibu sana kuimplicate matatizo yote ya nchi hii kwa Richmond na lowasa wkt mchawi wetu na mawakala wake TUMESHAWAJUA,hakika ni UKAWA/LOWASA TU ndio watakaotutoa hapa
Wewe ni mtu WA ajabu sana kumwita binadamu mwenzako hana doa,ye MUNGU?kwangu mimi MV DAR ES SALAAM,ishu ya wale wavuvi WA samaki,barabara mbovu,nyumba za serikali,lile lihoteli,n.k ni madoa Tosha kabisa.
kama dhumuni ni kuelezea kuondoka kwake CDM,mbona kajikita sana kwenye kutuaminisha kuwa lowasa hatufai?pia kama ni hivyo mbona kaenda kuwashambulia na wengine kama sumaye ambae kaja muda mrefu sana baada ya yeye kuondoka?kifupi alikuwa anaichambua UKAWA kwa niaba ya genge la waliomtuma.ila...
January hana ushawishi wowote kuliko pinda,wasira,mwakyembe,lowasa n.k ila nahisi wanamwandaa kwa awamu ya sita (zamu ya waiskamu).inakera sana hawa maccm kutupangia na kutulazimishia viongozi wao wa hovyo.na bahati mbaya watz wengi ni mapopoma sana yako usingizini.
jamani mimi nina dish nlinunua na king'amuzi cha GTV sasa nataka kujua je kuna namna nyingine naweza kuitumia tena ile receiver ya GTV?na dish lake pia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.