Recent content by MrsA

  1. M

    Ofisa usalama 'feki' anaswa

    Mjini shule!!!
  2. M

    Wanaotaka kupambana na Dawa za kulevya watazame hii video kwanza!

    Hata mie siioni hiyo video mtoa mada tuambie jina ili tuisearch wenyewe YOUTUBE
  3. M

    Mtendaji wa kijiji anyolewa nywele sehemu za Siri kishirikina...

    By y-n: nywele za sehemu za siri,ukichanganya na mguu wa kushoto wa bundi,ongezea na manyoya mawili ya chiriku,mbona utaijua dunia,MWANZA faster sana zaidi ya fast jet Hahahaaaaaaaa!! Mkubwa una experience!!😁
  4. M

    PICHA: Polisi mstaafu alivyomcharanga mapanga mwanae wa miaka 4!

    Aaaaarrrggg!!! Nahisi hasira mpk natetemeka huyo Bwire ni zaidi ya shetani, kwa nini hao policcm wamemuokoa kwa wananchi!!! Huyo anastahili KIFO tu na sio adhabu nyingine loh.... Jibabu zima halina haya ujana wake wa kuvaa bukta lilikuwa wapi? Uzee wa kuvaa msuli ndo linajifanya lina mawivu ya...
  5. M

    TAHADHARI!!! Matapeli kwa kujifanya promotion za vodacom

    Kila kukicha waTZ wanagundua mbinu mpya za kufanya utapeli hii yote ni inatokana na ugumu wa maisha na Akita uliopo nchini kwetu!! Ipo haja ya serikali kuchukua hatua!! By the way ni (mtizamo tu!!)
  6. M

    Dar: Majambazi yapora na kuua

    Ugumu wa maisha unawasababisha binadamu kuwa kama wanyama!! Hao watu inaonyesha wamemfuatilia tangu bank, ipo haja ya kuongeza umakini unapoenda kuchukua hela bank sio sawa kama utachukua hela openly(dirishani) ni vyema ukichukua kwa Siri wateja wengine wasione!! Hii habari imenigusa coz hata...
  7. M

    Baada ya kucheki clip nimeaminitanzania tunaweza kuwa tunaongoza kwa imani ya kishirikina duniani

    Umejuaje kama ni ushirikina??? Labda ni wezi tu!! Maana hata wezi huwa wanachomwa pia!! Binadamu wameamua kumsaidia Mungu kazi ya kuhukumu!!!!
Back
Top Bottom