TAHADHARI!!! Matapeli kwa kujifanya promotion za vodacom

TAHADHARI!!! Matapeli kwa kujifanya promotion za vodacom

ngonyoki

Member
Joined
May 20, 2012
Posts
43
Reaction score
8
Nawataadharisha wote kuwa kuna utapeli wa hali ya juu wa watu wanaoweza kukupigia simu wakisema ni Vodacom promotion kuwa kuna offer ya wewe kuchagua watu watano wa mtandao wa Vodacom kuwapigia simu kwa siku tano bure. Wanachukutaka ni wewe kuwapa namba hizo ili waziingize kwenye mashine zao ili uanze kuwapigia simu watu uliowachagua. Huzungumza vizuri sana wakikutaka uthibitishe utambulisho wako kama majina shihi, umri, tarehe ya kuzaliwa na nk

Wanafanya hivi ili ukiwapa hizo nomber baadae kidogo wanablock namba yako wanaitumia simu yako kuwasiliana na hao watu uliowapa namba kuwa wawatumie pesa kwa mpesa kwa kutumia namba yako bila yule kushtuka. Hutumia pia namba yako kufanya ualifu, kutapeli, na kama umeweka MPesa wanachukua! Muda huo wote simu yako inakuwa huwezi kuitumia.

Jana imenitokea lakini baadae kidogo nilishtuka na kuwapigia simu mara moja wale niliotoa nomber zao kuwataadharisha kutii maombi yeyote kutoka kwa simu yangu! baadae jion simu yangu ikablock na wale matapeli wakaanza kuwasiliana na zile no. nlizotoa! Jana marafiki zangu wanne wamepigiwa simu za kitapeli kwa mtindo huo. Naenda VODA baadae.
Wajulishe wengine

CHUKUA TAADHARI TAFADHALI.
 
Nawataadharisha wote kuwa kuna utapeli wa hali ya juu wa watu wanaoweza kukupigia simu wakisema ni Vodacom promotion kuwa kuna offer ya wewe kuchagua watu watano wa mtandao wa Vodacom kuwapigia simu kwa siku tano bure. Wanachukutaka ni wewe kuwapa namber hizo ili waziingize kwenye mashine zao ili uanze kuwapigia simu watu uliowachagua. Huzungumza vizuri sana wakikutaka uthibitishe utambulisho wako kama majina shihi, umri, tarehe ya kuzaliwa na nk

Wanafanya hivi ili ukiwapa hizo nomber baadae kidogo wanablock nomber yako wanaitumia simu yako kuwasiliana na hao watu uliowapa namba kuwa wawatumie pesa kwa mpesa kwa kutumia Nomber yako bila yule kushtuka. Hutumia pia nomber yako kufanya ualifu, kutapeli, na kama umeweka MPesa wanachukua! Muda huo wote simu yako inakuwa huwezi kuitumia.

Jana imenitokea lakini baadae kidogo nilishtuka na kuwapigia simu mara moja wale niliotoa nomber zao kuwataadharisha kutii maombi yeyote kutoka kwa simu yangu! baadae jion simu yangu ikablock na wale matapeli wakaanza kuwasiliana na zile no. nlizotoa! Jana marafiki zangu wanne wamepigiwa simu za kitapeli kwa mtindo huo. Naenda VODA baadae.
Wajulishe wengine

CHUKUA TAADHARI TAFADHALI.

Naomba mwenye kuelewa hili suala atueleweshe/anieleweshe: Inakuwaje mtu wa kawaida tu wa mtaani aweze ku-block number ya mteja wa vodacom?
 
Hivi hizi akili na nguvu zikiwekezwa kwenye maendeleo si tutafika mbali sana?
 
ilimtokea maza angu hii, wakanipigia cm kutumia namba ya maza eti kapatwa na matatizo nim2me 100,000 lakini nilishitukia sauti haikuwa ya maza
 
Kila kukicha waTZ wanagundua mbinu mpya za kufanya utapeli hii yote ni inatokana na ugumu wa maisha na Akita uliopo nchini kwetu!! Ipo haja ya serikali kuchukua hatua!! By the way ni (mtizamo tu!!)
 
Hiv inawezekana tu m2 wa kawaida akablock namba yako?, ana block vipi kwanza? Hapa lazima kuna wafanyakazi wa ndani ya mtandao husika nao wamo.
 
Back
Top Bottom