Tumia namba ambayo ni recent, lakini wakati wa kujaza taarifa zako kuna option ya kujaza namba zote kwa wale walio fanya mtihani zaidi ya mara moja.
Nadhani ni muhimu zaidi taarifa ie namba zote mbili zikawapo kwenye form yako.
Habari!
Poleni na majukumu ya kila siku. Nina ndugu yangu amemaliza form 6 mwaka huu kama private candidate na amepata C ya historia, E ya kiswahili na E ya kiingereza.
Je, kwa matokeo haya anaweza pata university admission?
Maoni yenu tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.