Wananchi wanahitaji muda kuwapima wale wanaotaka kuongoza taifa. Naamini kadri watakavyowafahamu mapema ndivyo pia watakavyokuwa na muda wa kutosha wa kuwapima uwezo wao katika nyanja zote. Rais ni mmoja kati ya watu 45m wa Tanzania ni muhimu tupate the best individual. Wananchi wapate muda wa...
Hekima ni kitu cha kipee sana na ndiyo imekosekana kwenye kikao cha Bunge leo. Huwezi kukataa kusikiliza kitu ila unakataa ujumbe uliopo baada ya kusikiliza. Kiongozi wa upinzani ana nafasi kubwa Bungeni. Je kama ujumbe huo ni jambo la hatari kwa maisha yao wakati huo hapo Bungeni Naibu Spika...
Ni jambo baya sana kutaja majina ya watu kwa shutuma nzito kama za kuuza unga wakati huweza kuonyesha ushahidi wowote na ni watu wenye akili ndogo tu wanaofanya mambo ya aina hiyo. Taarifa ya mfungwa wa Hongkong ni muhimu kwa Polis wafanyie kazi bila kuingiza urafiki ndani yake kwa kuwa jina la...
Kikwete kaacha wateule wake hasa baadhi ya makatibu wakuu waonevu wakaonea wadogo, nao wadogo wakamlilia Mungu sasa Mungu anawachapa viboko wote na kaanzia juu na haitaisha hadi Kikwete aondoe hao waonevu wote bado wapo.
Mhe Rais na Waziri Mkuu, maendeleo yanaletwa na vichwa vya wataalam siyo viongozi wagomvi ambao kila walikokopita na hata waliko sasa hawaelewani na watendaji, viongozi wenzao na hata taasisi nyingine. Kiongozi wa aina hiyo hafai kwa hali tuliyo nayo sasa. Utasikia kagombana na kiongozi mwenzake...
Makatibu wakuu wasiyo na Uweza wa kutawala watu wako wengi ambao Mhe Rais anatakiwa afanye maamuzi magumu ya kuwasafisha katika Serikali, wamefanya nchi imekuwa maskini kwa utendaji mbovu na hawana mawazo yoyote ya maendeleo zaidi ya kuvuruga mazuri waliyoyakuta na wataalamu waliyo chini yao...
Mama aelewe kuwa Mungu ni mkamilifu na usijifanye ni mtumishi wake kama huna mikono safi. Arejee kwenye mambo yake akayasafishe yote ataona jamii itamkubali kama mfuasi safi wa Mungu. Jamii ni sauti ya Mungu kwa ujumla hakuna mtu safi anayeweza kusutwa na jamii. Jamii ikikukubali uelewe kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.