Recent content by mroki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Usikubali kupakuliwa mpenzi. Mm sitakupakua, nitakutendea kama malkia. Pia nitakufundisha dini (sio kwamba mimi ni religious fundamentalist) hapana nitakufundisha tu kiasi kinachotutosha.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Siamini bana posti zake nyingi zinaonyesha kwamba yeye ni mwanamke
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Kisheria mimi ni Mwenyekiti halali wa NCCR-Mageuzi

    Nchimbi ana nia ya dhati ya kuleta demokrasia ya kweli nchini. Wanasema kwenye vikao vya CC alikuwa anawatetea wapinzani. Hata kauli zake nyingi zinaonyesha hivyo. Alichokuwa anakosa ni kwamba yeye hakuwa mhanga wa mateso waliyopitia wapinzani. Ila kwa sasa hilo tayari. Nchimbi ana koneksheni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Hee ni mwanaume. Mm nikijua nibinti mrembo sana nilivoona ile profile pikcha. Nikawa najiuliza nashoboka vipi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Kisheria mimi ni Mwenyekiti halali wa NCCR-Mageuzi

    Safi sana James Mbatia turejeshe tena muungano wa vyama vya upinzani. Tumsimamishe Emmanuel Nchimbi (mwenyezi Mungu amjalie neema na rehema uko alipo). Tushinde uchaguzi na viti vingi vya ubunge. Turejeshe misingi ya kidemokrasia na utawala wa sheria.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Hapana ilo jambo sio sahihi na ni lazima mfumo mzima wa malezi nchini familia, shule na dini vipinge hayo mambo na kuelimisha jamii. Lazima wote kwa pamoja tushikamane kukataa uovu. Ukimchekea shetani yeye hakuchekei wewe anakuangamiza wewe na vizazi vyako. Lakini kusingizia na kudhalilisha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DR NCHIMBI NA KANISA:

    Ushawishi pia ni muhimu. Watu watanisikiliza? Watu watanikubali? Hakuna anayenijua itakuwa sio haki kumpa uongozi mtu ambaye hastahili. Watu wataandamana?
  8. M

    JamiiForums Tanzania DR NCHIMBI NA KANISA:

    Uzoefu pia ni muhimu. Badala ya kufanya kazi nitakuwa najifunza jinsi ya kufanya kazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania DR NCHIMBI NA KANISA:

    Mm naona Emmanuel Nchimbi (Ph D) anafaa sana kuwa rais. Mwenyezi Mungu amrehemie huko alipo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Watu tulikuwa tunasifia hivi vitu leo hii ni kilio
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Tundu Lisu itachochea utii wa sheria na katiba ya nchi bila shuruti.

    Hapo umekosea sana. Lissu haujamuelewa msikilize anachosema.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi ndiye turufu pekee ya umoja, amani, usalama na ustawi wa demokrasia ya Tanzania

    Hapa umeandika vizuri sana Tlaatlaah
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania na uhuru wa Palestine inatusaidia nini !

    Ina maana sasa hivi Tanzania mabishano ya kisiasa yamechukua sura ya kidini au inakuaje. Malaria 2 naelewa wewe ni muislamu mcha Mungu na post zako nyingi nilivokuwa napita humu JF ni nzuri. Nieleze nini maoni yako kuhusu hali ya kidemokrasia ya nchi hii
Back
Top Bottom