Recent content by mrobhanda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Kwanza karibu Serengeti. Ni kwetu, ni mji safi sana na pana umeme na huduma nyingine za kiafya. Cha kuzingatia ni uwahi ukipangwa pembeni sana na mji ni shida. Uombe upangwe shule za mjini kama vile Mugumu sec, Kambarage Sec, Ikoma Sec, Serengeti Sec nk.. Kuwa makini usije pangwa shule za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa anayetaka kuja Liwale - Lindi, mimi nije Meru ama wilaya yeyote Arusha tuwasiliane. Ni PM ama quote hii post yangu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Semina!! semina!!! semina!!!

    Ubarikiwe mpendwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baba V unakesi ya kunijibu...

    Post imekufa na ushahidi wangu, lakini bado lazima nifungue uzi mpya. Nakinukishaaaa, ngoja tutoke white party. Kama vipi ntajibanza hata sehemu niwamwagie ukweli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hili la Marry hunbig na Mzungu Mndali linahitaji ufafanuzi wana Chit- chat tulielewe

    Ok, najua nitakula ban baada ya kuyasema haya, sijali alimradi nitakua nimetoa ya rohoni. Kikubwa sogeeni karibu na muwe fasta sababu najua watafuta huu uzi. Ninachowaambia ni cha ukweli tena ukweli mtupu. Ee Mungu nisaidie. Ngoja niandike mahali wakati nyie mnasogea. Kwa herini Madame B Baba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hili la Marry hunbig na Mzungu Mndali linahitaji ufafanuzi wana Chit- chat tulielewe

    Baba V Rutashobolwa DON na Madame B naomba mnihakikishie usalama wangu ili nimtaje mmiliki wa hii ID kwani nimechoka kuweka mambo rohoni. LOLOTE NA LIWE, HUU UPUUZI SI WA KUFICHANA TENA. Naomba idhini na ulinzi wenu Baba V na presidaa Arushaone niwatajie ID nyingine ya mzungumndali nikitoa na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni UJUHA!!!

    Pilosodokehu fokoruhydnho hydgharyyuyzmopllhtywvcbbt cxzxaqwjha hhwsyuuufd hsuirghyaui ghgweyuewiuj.lo nbnsuyuewoiopponsfty bnzyuuyoowgnbeuwuivcsahkju g ghdsyjiuuiewpbsnkaqioeyn gayhayewonnsyebnf,lidbta mbcvxtwypopnhksgsytwqetrpyualnhjjhsaiwqteponsgtynmjkai hdsuyqowoptn nbxgytttuyppoi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni UJUHA!!!

    Dawa ya jeuri kiburi amu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulishalifanya likakupa aibu ambayo hautaisahau?

    Mimi nilimuomba demu wangu tigo akawa ananizingua, basi si ndio nikamwaidi akinipa tigo ntamuoa. Basi huyo dada akanipa tigo, baada ya kumla tigo si ndio siku moja akanifumania na demu mwingine, nikamkazia nikamwambia kwanza sijakuoa aniteme. Si ndio fujo zilipozidi wakaja wazee na mjumbe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni UJUHA!!!

    ropohhst nyhhdjfdg hhgasyhhjd hsaggdhhjjhsajh djhjhnhhdy da,zoye dsbnaghgdywqwqomnmx,,,,,yqwyequehjsd
  11. M

    JamiiForums Tanzania macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi

    Hela zao wakipata ni pombe sana na mikasi, kwa mama ni kupeleka matapishi ya mapombe yao. Mptuuuuu!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mods tunaomba hadhi ya Chit Chat forum irudishwe!!

    naunga mkono hoja
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mods tunaomba hadhi ya Chit Chat forum irudishwe!!

    Kuna mtu anakuita humu mama? Mbona mnajishughulisha na mambo o yasiyowahusu?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Attention: Kuwa makini na member huyu

    ha ha ha! Madame B you made my day. Nasubiri kwa hamu hiyo ndoto.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Attention: Kuwa makini na member huyu

    kwi kwi kwi kwi kwi!! Akiotaga hivi huwa Buchanan haoni, ole wako wewe uote hivi, unachinjiwa baharini.
Back
Top Bottom