Ok nimeelewa mkuu, hiyo inategemea na makubaliano kati yako na uongozi wa chuo. Kwa vyuo vya serikali hua kuna utaratibu wa kutoa tender kwa suppliers. Kwa mfano unataka ufungue canteen ili staff na wanafunzi wapate huduma ya chakula, kwa kawaida chuo husika kinatakiwa kutangaza tender na...
Kwema mkuu, nilichokua namshauri sio kupata fremu Bali ni kufungua chuo. Kwa shilingi million 12 nimemshauri afungue chuo kitakachosajiliwa chini ya nacte. Na kwavile ndio anaanza itambidi akodi jengo ikiwezekana akodi floor moja au mbili katika ghorofa, afanye renovation afanye marketing...
Habari wakuu, Mimi ni Kijana wa kitanzania Mwenye umri wa miaka 29. Banda ya kumaliza kidato cha nne nilijiunga na chuo cha utumishi wa umma TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE, TABORA CAMPUS.
Nilisoma kozi ya Ugavi na manunuzi kwa ngazi ya diploma Lakini kutokana na changamoto za kifamilia...
Imagination never work, endelea kukaa hapo watu wanatajirika....kila kitu uki complicate hakiwezekani na pia unapaswa kujua juhudi zako ndio mafanikio yako... lazy people always do challenges not focusing
Mkuu habari za majukumu. Nimeona thread ukiuliza ufanye biashara ipi kwa milioni 12. Mimi ningependa kukushauri ufungue chuo. Biashara ya chuo inalipa sana, hivi sass wanafunzi wanaohitimu shule za kata ni wengi Sana, na asilimia kubwa hawapati Nafasi ktk vyuo vya serikali na pia wazazi wengi...
Habari mkuu, endapo project hii imefanikiwa naomba unipe nafasi ya kufanya kazi nawewe kama muigizaji wa sauti, naamini utalifanyia kazi ombi langu, Ahsante Sana. 0743097373
Habari wakuu Mimi nina SHAMBA LENYE MITI ASILI kama vile mininga na mingineyo, Mimi binafsi sina vibali vya kusafirishia Hivyo natafuta mtu mwenye vibali, pia akiwa na mashine kubwa (chainsaw) kwaajili ya kuchania mbao pia awe na usafiri wa kubebea mbao ili tuelewane tufanye BIASHARA. Napatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.