Recent content by mrm

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Geita- Katoro,, aje Morogoro wilaya yeyote. Idara sekondari. Mawasiliano zaidi PM.
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo geita Dc (katoro sec) aje moro manispaa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mtwara aje Bukoba wilaya yoyote. Idara sekondari,, 0765637804.
  4. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mtwara aje bukoba wilaya yoyote. 0765637804
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pitia hapa ujue faida za sperms

    Shukran kwa ukumbusho,mwenyez mungu akulipe kheri.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetumiwa ujumbe huu

    Habari wana Jf,, kuna rafiki yangu amenitumia textmessage' hii nanukuu: "Kuna mtu amenipigia simu anaitwa Abdala Tito eti anasema kesho niende kwenye usahili posta (dar) UTUMISHI wanatoa ajira kwa watu maalum (ambao ni walimu 'graduates' ambao wataajiriwa kama watumishi ktk idara ya elimu...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kwenda Sokoni: Ni moja ya maajabu ya Zanzibar

    Mwanamke kapewa darja la juu kuliko mwanamume. Kwanza kabisa ktk quran kuna sura ya wanawake (surat an nisa yenye aya 177) hakuna surat al rijal hilo ni darja kubwa kabisa kwa mwanamke kwa anayejua uzito wa kitabu hiki kitakatifu,, Kaisome sura hiyo hususan ktk aya 128,, 125,,35,, 20,, 6 na 5...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kwenda Sokoni: Ni moja ya maajabu ya Zanzibar

    Ushauri wa bure "Soma quran tukufu".
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kwenda Sokoni: Ni moja ya maajabu ya Zanzibar

    Sio wivu bali ni kumuepusha na vishawishi,, uislam umempa mwanamke darja ya juu sana kulinganisha na mwanamume,, hivyo hao wanamume mnaowaona masokoni wakinunua mahitaji ya nyumbani ni miongoni mwa majukumu ambayo mwanamume yambidi ayatekeleze kwa familia yake. Tukiachilia mbali hilo mwanamume...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kutana na Mwanadada Dereva wa Bus

    Ndenjera jet,, mwanadada yupo makini mnoo na uendeshaji wake na hata huduma zao wako vizuri sana. Siku nilipopanda gari hiyo nilisahau kabisa kama kuna kitu kinaitwa ajali chaweza kutokea!!. Tangu siku hiyo hii sijawah kufikiria kupanda basi lingne kwa route za dar - mby labda tu lisiwepo. Big...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Awe mwalimu lakini

    Kila la kheri mkuu,, mungu ajalie upate mke mwema.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Watasha tu

    Jumapili. laiti jana ya jumapili ni(jumamosi) ingekuwa kesho(chukua jumamosi ipeleke kesho) inamaana leo (ambayo ndo jumapili) ingekuwa ijumaa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tangazo, St. Joseph University mmechemka

    Mkuu kama u mfatiliaji mzuri wa taarifa za habari za startv hususani usiku basi unafursa nzuri ya kuliona hilo tangazo,, kwa mtazamo wangu tangazo hilo litakuwa ni brand new maana kwa mara ya kwanza nimeliona jana. Kwa kifupi tangazo halina hadhi na kibaya zaid haliendani na kusudio husika.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tangazo, St. Joseph University mmechemka

    Et tangazo la kuadvitise chuo kikuu!! khaa aibu gani hii ubunifu zerooo kabisa.
Back
Top Bottom