Recent content by MrJuicey

  1. M

    Changamoto nilizo kumbana nazo wakati naendela kutafuta gari kwa ajili uber!

    Habari zenu,Mimi Ni dereva wa uber/taxify mwaka sasa Trips 976+ combined, Ni mwezi sasa nimekuwa nikitafuta gari ya mkataba kwa ajili ya uber! Changamoto nilizo kumbana nazo zina nikatisha tamaa sana! Nia ya bandiko hili nikupunguzaa stress akili na moyoni. 1. Kupewa gari na mtu asiekufaham...
  2. M

    Natafuta Gari kwa ajili ya Uber/taxify

    Mimi ni Dereva mwenye uzoefu wa mwaka, natafuta gari ya mkataba , Hesabu 175,000 kwa week. Malipo ni kila jumanne asubuhi...! Naomba tuwasiliane PM
  3. M

    Unawezaje kumiliki wanawake wawili

    Asseee umemuacha bila kupima mafuta? Kwa huku dar huwa tunapima oil mpka dem anashtukia mwenyewe alipo ingia ni chaka kisha anakukimbiaaa! Ww unakuwa huru ili hata ikikwama unarudi kwa huruma baadae.
  4. M

    Unawezaje kumiliki wanawake wawili

    Mkuu wewe mwanaume wa mkoani?
  5. M

    Natafuta gari kwa ajili ya biashara ya Uber

    25000 per day.
  6. M

    Natafuta gari kwa ajili ya biashara ya Uber

    Hapana , ya kukodi kuleta hesabu kwa week
  7. M

    Natafuta gari kwa ajili ya biashara ya Uber

    Habari wakuu., natafuta gari la biashara kwa ajili ya kufanyia uber (sio lazima iwe na plate number nyeupe).
  8. M

    Natafuta gari kwa ajili ya biashara ya Uber

    Habari wakuu, natafuta gari la biashara kwa ajili ya kufanyia uber (sio lazima iwe na plate number nyeupe). Kuleta hesabu tu kila week (kama dereva)
Back
Top Bottom