Unawezaje kumiliki wanawake wawili

Unawezaje kumiliki wanawake wawili

Sasa hyo ni kumiliki wanawake wawili au kugegeda wanawake wawili?

Sijui ugumu unaona wapi hapo.
 
Sikuzile nilipokua kijana kama wewe, niliwaza kumiliki wanawake 8 kwa maramoja na wote hawakuahi kujuana.
Vijana wa .com mmekua laini sana, hata kila kitu mnataka mtafuniwe....[emoji53] [emoji45] [emoji45]
[emoji848]wanawake nane
 
Acha ufala mkatae huyo alioomba msamaha maana ataondoka tena! Amini kwamba mdogo wangu,,,,
 
Acha ukilaza kijana, inaonekana bado una mapenzi ya sekondari. wawili tu unauliza?? mi ninao sita na hakuna dalili ntakuja kukamatwa hata kama nimelewa.
 
Nisha achana na uyu mpya
Asseee umemuacha bila kupima mafuta?

Kwa huku dar huwa tunapima oil mpka dem anashtukia mwenyewe alipo ingia ni chaka kisha anakukimbiaaa! Ww unakuwa huru ili hata ikikwama unarudi kwa huruma baadae.
 
Iii inaniumiza akili nilikua na demu tukagombn baada ya kugombana nikachukua maamuzi ya kutafuta mwingine

Kinacho niumiza kichwa yule tuliye gombana aliniomb msamaha nikamsamehe but kinacho nisumbua now naogopa siku wakijua na cheat

Na uyo demu mpya naogopa kumwambia simtaki tena mahusiano yetu yana siku mbili tuu

Nipeni ushauri nifanyeje nitembee nao wote kisili au but naogopa kuwa teach ushauri kwa wale wamiliki wa demu



NISHA CHUKUA MAAMUZI


Nimeona siwez kuwa nao wote nimeamua kubaki na mmoja tuu ndio maamuzi niliyo yachukua na niliye mkataa kanilewa
Mara nyingi mwanaume anaye ng'ang'ania kuwa na mwanamke mmoja nguvu zake za kiume huwa zinamatatizo.....
 
Back
Top Bottom