Recent content by mrisho j mrisho

  1. M

    JamiiForums Tanzania hello

    mimi mgeni umu naombeni ushirikiano wenu wakuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection kazi za kutumia nguvu kama kubeba mizigo (ukuli)

    Asante sana ngoja niende
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection kazi za kutumia nguvu kama kubeba mizigo (ukuli)

    Asante mkuu kwa dua yako Mungu akulinde uwe mwema zaid na vizazi vyako wote.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Asante mkuu nitalifanyia kazi hilo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection kazi za kutumia nguvu kama kubeba mizigo (ukuli)

    Anhaa sawa mkuu asante kwa kunielekeza.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection kazi za kutumia nguvu kama kubeba mizigo (ukuli)

    Ni Tandika Sterio au lipo sehemu gani pale Tandika naomba nieleweshe samahani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection kazi za kutumia nguvu kama kubeba mizigo (ukuli)

    Habari zenu wakuu, nahitaji mwenye kujua connection za kazi za kutumia nguvu ukuli kwa Dar au Pwani. Ikiwa sokoni nijuze ni soko gani wanashusha sana mizigo ya mazao angalau kwa siku liwe na uwezo wa kuingiza lori 4,5 au kama viwandani nijuze ni kiwanda kipi wanakubali makuli wa nje pasipo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Naombeni connection ya wapi wanakobeba sana na kushusha mizigo ya mazao nikawe kuli ili nipate mtaji wa biashara, yani kama ni sokoni ni soko linaloingiza lori kwa siku angalau 4, 5 au viwandani ambacho wanaruhusu makuli wa kujitegemea naombeni connection kwa anaejua hasa mkoa wa Pwani Kibaha au...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba/pagala ya vyumba vitatu choo jiko na sebule inauzwa mlandizi

    Habari wakuu,nyumba ya vyumba vitatu choo jiko na sebule inauzwa Janga Mlandizi Kibaha Pwani,ipo kwenye mandhari mazuri umbali wa kilomita moja kutoka Mlandizi center mwendo wa dakika tano kwa usafili na dakika ishirini na tano kwa miguu. Nyumba bado haijaisha vizul ila wenyewe wanaishi humo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda za kila siku (daywork)

    Asanre kaka kwa dua yako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda za kila siku (daywork)

    Habari zenu wakuu wa humu JF, Mimi ni kijana mchapakazi, napatikana Kibaha mkoa wa Pwani. Nilishawahi kupost humu tangazo la kutafuta ajira/kazi. Sasa leo nimerud tena kuwaomba ndugu zangu kwa anaejua vinakopatikana vijitenda/vibarua vidgo vidgo aniambie au ukiwa unavyo vijitenda niite...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi, kibarua au connection kwa mwenye kujua

    Inawezekana kwa wasiojijua lakin mimi najijua kabisa nilivyo sina makuu napenda kujishusha kwan sipendag Shari ila kila mtu na mtazamo wake sio lazima mniamin
Back
Top Bottom