Recent content by Mrike

  1. Mrike

    JamiiForums Tanzania Anaewajua hawa wauza magari tradecarview

    Wako vizuri sana hao tradecarview. Nimekwisha fanya nao biashara kwa mara 3 tofauti.
  2. Mrike

    JamiiForums Tanzania Tishio la Mende Majumbani

    Poleni sana ndugu zangu kwa matatizo ya mdudu mende na ndugu zake. Kuna dawa inaitwa FIPROFARM. Nawahakikishia, ukipiga hiyo ndani na nje ya nyumba yako. Hakuna mende atayethubutu kuja kuongea nawe tena hapo nyumbani. Dawa hiyo ikauzwa kwenye Maduka ya dawa za mifugo na kilimo. Sent using...
  3. Mrike

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natokwa na harufu mbaya sana sehemu za siri

    Pole sana mdogo wangu Enol. Naomba ufanye haya, ambayo binafsi nilifanya baada ya kupatwa na tatizo linataka kufanana na lako. Chukua Nazi 2 kwa kuanzia. Vunja na kuna Nazi zote kisha tengeneza tui. Liache tui mpaka cream ijitenge na maji. Kisha chukua hiyo cream jipake sehemu yote ya siri na...
  4. Mrike

    JamiiForums Tanzania Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

    Rafael - Fred Saganda Kadem ka mizinga - Bambo ft. Mtanga Subira - Shaa Hizi nyimbo kwangu ni burudani hasa.
  5. Mrike

    JamiiForums Tanzania Magari ya washawasha yamwagilia maua, hawana kazi, nimeipenda hii!

    Hili ni jambo zuri sana. Hongera zao sana.
  6. Mrike

    JamiiForums Tanzania Kitunguu swaumu kilicho sindikwa

    Naomba kujua. Hii ni nusu kilo, kilo 1 au ni ujazo gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mrike

    JamiiForums Tanzania Vichaa huona nini?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mrike

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    You're welcome.
  9. Mrike

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    [Digitaldrimzafrica – Connecting Africa and Making a Difference] is good,have a look at it! Home Mkuu THE BOLD, asante sana kwa wavuti hii. Ni nzuri sana.
  10. Mrike

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Nafahamu moja ya Captain Phillip mkuu Uscoch.
  11. Mrike

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Shukrani sana THE BOLD.
  12. Mrike

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Eisenhower Fellowship: Eisenhower Fellows Alu Entreprenurial Leadership scholarship Apply at https://alueducation.com/entrepreneurial-leadership-scholarship Internship opportunity at the African Development Bank Headquarters Internship Programme - African Development Bank UWE Bristol...
  13. Mrike

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    University of Melbourne Master Degree and PhD Scholarship in Australia (Fully Funded)
  14. Mrike

    JamiiForums Tanzania Naleta simu kwa order from korea

    Mkuu, sijakuita tapeli, wala kukufananisha. Nimeeleza tabia ya huyo muhindi. Samahani kwa hilo.
  15. Mrike

    JamiiForums Tanzania Naleta simu kwa order from korea

    Kuna jamaa ni muhindi anaitwa Ridhaa. Nae ana kurasa FB anaiita Ridhaa Phone. Ndio lugha zake hizo. Eti simu na smart watch zake ziko Zanzibar, tunapokelea huko halafu wanaleta Dsm. Jamaa hafai kabisa.
Back
Top Bottom