Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa Rais wa nchi wakati wewe si Raia wa nchi hiyo?
Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?
Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha Mbinguni?
Kama Dini haziwezi kutupeleka Mbinguni, basi kwa...