maamuzi ya kamati kuu ni sahihi kabisa hata mim binafsi huyu Zk sikua na imani nae kabisa!! CCM imegonga mwamba ishu imesanukiwa mapeema hii inaonyesha ni kiasi gani CDM iko makini!!
CCm haiko kwaajili ya kuwatetea wananchi bali iko kwa ajili ya kutetea masilahi yoa! na hii imedhihirika wazi hapo BKB!! woa kwao ni sahihi kodi za watanzania zitafunwe na wachache huku maskini wakizidi kuteseka na garama kubwa za maisha!!! watanzania wenzangu 2014/2015 tusifanye makosa!!! kosa...
kwani inamaana nape hakuwa na taarifa za kikao cha NEC ya cc mkoa? kama katiba inaruhusu NEC mkoa kumfukuza mtu uanachama basi nape amekurupuka kutoka usingizini na anajaribu kuzoa maji yaliyomwagika kwenye udongo, matokea yake atazoa tope na si maji!!!
Wanaficha uozo wa ccm wakati kila mtanzania anaujua mahakama imewaumbua baada ya kutenda haki!!! sioni maana ya tbc bora wazipe channel nyingene ridhaa ya kurusha live vipindi vya bunge, watu leo tulitaka kuckia kutoka serekalini kuhusu tuhuma za ugaidi dhidi ya chadema lakini ccm wametunyima...
sera ya ccm hiyo siyo ya serikali!! ana wasiwasi wakiitisha maandamano ya ccm hatatokea mtu hivyo wanaona bora kusiwe na maandamano kwa wote!!! tuna haki ya kuandamana ili mradi yawe maanadamo ya amani!!!!2015 will justify the means
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.