Recent content by mrashani bk

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mfumo wa makaro ya kisasa yasiyojaa (BIODIGESTER SEPTIC TANKS)

    Tafadhali jazia nyama maelezo yako.halijai kivipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tanzania ya Viwanda: Upotoshaji umekuwa nyenzo muhimu kwa Upinzani kukwamisha juhudi za Rais

    Kama wapinzani wanatumia nguvu nyingi kupotosha dhidi ya jitihada zinazofanywa na serikali,basi serikali inatakiwa kutumia nguvu nyingi kuwapatia wananchi taarifa sahihi.wananchi watapima na kuchambua mbivu na mbichi.hiyo ndiyo maana ya demokrasia. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Dar unapotoka kuingilia yasiyokuhusu! Sakata la CAG hukutakiwa kutia neno...

    Hata mimi ndivyo nilivyomuelewa.huyu sheikh kamchana ndugai kiaina. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viroja haviishi: Msajili wa Mahakama Kuu sasa kakubali kupokea kesi ya Zitto dhidi ya Ndugai lakini hawezi kuisajali maana anatoka kidogo

    Labda Kenya siyo Uganda. Tanzania,Rwanda na Uganda ni walewale tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya kuziuza pembe za tembo kwa mfumo wa ‘crypto currency’ ili kuweza kupata fedha za kufadhili mradi wa ujenzi wa reli ya Kisasa

    Nadharia nzuri lakini lazima kwanza tuelewe lengo hasa la kupiga marufuku hii biashara lilikuwa ni nini? Kwa maelezo yako naona unataka biashara hii ihalalishwe. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hamuitaki hii gari au ni bei?

    Anamaanisha ukata. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Heko Magufuli Mpango ulioko jikoni umenifurahisha na umejirekebisha kwa 90% long live JF, awazo yote yamechotwa hapa

    Na iwe hivyo.kwa sababu watu walishaanza kuizoea hii hali wakaanza kuwa sugu.wakisha kuwa sugu wanaanza Ku -count down muda wako wa kuondoka madarakani.ukishatoka madarakani wanakusahau kama vile hukuwahi kuwa raisi wa nchi;rejea ya Mugabe nani anam-miss? Labda watoto na rafiki zake.unafikiri...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

    Nilienda guest moja dodoma ,sasa kabla sijalipa huwa napenda kukagua kwanza chumba.chumba kilikuwa kisafi lakini nikaamua kupanda kwenye kiti kukagua juu ya kabati la nguo;nikakuta condom kama ishirini zilizotumika.nikamuuliza muhudumu kwa nini hawafanyi usafi vizuri? Akanijibu nimekwenda pale...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    Sawa.inawezekana ni kweli alikiuka utaratibu lakini hii haiondoi ukweli kwamba bunge letu ni dhaifu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Adventure of I

    Nimegoogle ;sijakipata.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Adventure of I

    Naomba mwenye soft copy ya kitabu cha 'The adventure of I' by Tania Kotsos, anisaidie.natanguliza shukrani.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Finance act and tax laws

    Naomba wajuzi wa masuala ya fedha na sheria wanisaidie;kwa nini marekebisho kwenye sheria mbalimbali za kodi yanafanywa kupitia finance bills?
Back
Top Bottom