Kuchota fedha za wanachama siafiki? CAG Kakagua miaka yote zaidi ya saba sasa na Hakuibua Tuhuma Hiyo. Kapitia cash flow za miaka Yote na Hakuona.Sasa Unatuaminishaje?
Hivi kuwa na shule ni kigezo kuwa umeiba na wewe mi mkurugenzi?,
Wote wenye shule binafsi wameiba?
Halafu haya ya cha juu kuprove shida kwa sabab maamuzi ya matumizi huusisha jopo la wachumi, bodi,na kadhalika. Bw. Sanga ndie alie ipaisha Lapf. Ilikuwa haisikiki.
Kumiliki shule kwa makamo yale...
Mkuu ci kubaliani na wewe kwani mpaka sasa pspf uhai wake hatihati unapungukiwa tirion 6 kulipa wafanyakaz waliopo kazini cag, sasa anae jiunga leo atalipwa nini baadae, take care
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.