Recent content by mr yamoto

  1. mr yamoto

    Bado sijaona mtu anafaa kuwa spika huko CCM

    Ndio hayakuingizii kwa sababu huwa hutoi pesa ukakutana na tozo bwana kibs
  2. mr yamoto

    Bado sijaona mtu anafaa kuwa spika huko CCM

    Nchi ngumu hii. CCM hawana akili toka mwanza wa Dunia.
  3. mr yamoto

    Hivi unawakilishwaje na Mbunge asiyekatwa KODI?Anaanzaje kuwa na huruma na wewe? Hapo bado unadhani KATIBA sio muhimu!!

    Endeleeni kusema ooh hawa wanapiga tu kelele mitandaoni... ooh wanaharakati uchwara... ooh hawana jipya wanapinga kila kitu. Endeleeni kuwazodoa wanaowasemea badala ya kujisemea wenyewe. Makelele yanasikika! Na tutapiga sana makelele.
Back
Top Bottom