Hili ni tatizo la kuanza kuangalia mpira ukubwani, kiwango cha samatta kinatisha kaka na ninakuhakikishia muda si mrefu utasikia ameenda premier league
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Tatizo wabongo hamueleweka NSSF wanauza nyumba za vyumba viwili na sebule kwa ml 58,000,000= n.mnalalamika eti bei kubwa sana, sasa mmeletewa nyumba za mil32 mnasema hakuna nyumba ya gharama iyo, sasa mnataka nyumba ya sh ngapi?
yani hii aibu inaonyesha ninyi masisiem mmeshagawana mpaka mikoa, maana magufuli anasema tanzania ya magufuli naww unasema shinyanga ni mkoa wako. Oct 25 lazima tufanye ukombozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.