Recent content by Mr W

  1. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Sehemu ya "accredited by" weka NECTA kama ni diploma au certificate baada ya hapo reg number itaweza kuwa verified kwa urahisi uendelee mbele. Japo pia kwenye selection za mikoa Kuna changamoto Mimi ndo nimekwama
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bro kwema? Nimedeposit pesa 22bet tangu saa tano asubuhi mpaka Sasa haijasoma kwenye account. Nimewatumia message hawajibu pia nimewafata WhatsApp kwa namba flani ulimpa jamaa humu ndani ila bado Hakuna response. Nifanyeje ndugu yangu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bro pm inagoma ila swali langu ni moja. Hizi games ambazo tunaweza kuweka pesa nitazijuaje au Kuna application inakusaidia kufanya analysis ya odds kwa kila game kugundua wapi pa kufanya betting
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba msaada kwa wanaotumia 22bet Namba yangu ya voda niliitumia kusajiri account 22bet lakini kila nikijaribu kuitumia ili kufanya password recovery wananijibu kwamba invalid username. Msaada nifanyeje
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    App yangu ya 22bet haifunguki msaada jamani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga nyani. Nampataje na utaratibu ukoje?

    Nyani Ngabu unaitwa huku man
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sorry mkuu naomba unisaidie odds 2 tu Kuna namna nimejichanganya pesa yangu imeliwa kimasihara
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau naomba namba ya wakala wa kuaminika tofauti na mhode
  9. M

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Usipendelee kuweka picha za mtoto wako mtandaoni.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bro mbona nimeitafta sijaiona iko sehemu gani hii option kwenye pm bet
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau naomba mwenye link ya kuangalia live game ya Juventus
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupandikiza mtoto/mimba

    Najaribu kuku- pm nashindwa mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupandikiza mtoto/mimba

    Samahani mkuu naweza kuja pm nikuulize Jambo binafsi kuhusu hawa Dar IVF
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh! Yaani hii game timu ya nyumbani niliipata handcap ya goal 4 ajabu naamka asubuhi nakuta wamepigwa goal saba. Bora iliahirishwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inamaanisha odds zimeshuka/kupanda ndo maana wanaiblock
Back
Top Bottom