Recent content by Mr. VYAGUSA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa nyingine ya Mh. Lowasa ni nini?

    kwani utajiri wa Riz1 maelezo yake yako wapi? Acha umburula wewe
  2. M

    JamiiForums Tanzania ASHA ROSE MIGIRO ana SPEECH TAMU SANA

    Talking the talk is not similar as running the talk.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Nkurunzinza ahukumiwe?

    we ni kilaza kabisa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kahama wamtaka Zitto; Mbunge wao Lembeli yuko kwenye malumbano ya kisiasa na chama chake

    Nikupe kwanza pole kwa yale yote yaliyotokea hapo nyuma. Kahama ya sasa siyo ile ya zamani. Kwa sasa Kahama ina mchanganyiko wa watu, hivyo atakaye gombea hapo hategemei kura za upande mmoja tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Michango Ya Ujenzi Wa Hospitali Ya Rufaa Maweni Kigoma Ni Halali Kisheria?

    Vyanzo vya wakuu wa wilaya kupiga hela.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Hakika wewe unaonekana una akili kama ya kunguni. Sasa hayo maneno ya mwanasesere hapo juu yanahusikaje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Muhambwe kijana anayejinadi mgombea wa CCM.

    Jina lake tu, linaonyesha hawezi pata ubunge. Anaitwa NDUHILABUSA Mapigano likimaanisha NACHOKABURE Mapigano. Kwahiyo anajichosha tu bure hawezi kama jina lake.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Mchungaji Msigwa, acheni chuki za kitoto kwa Zitto

    Huyo siyo MCHUNGAJI anaweza kuwa yeye ni MCHUNGWAJI. Maana wajiitao wachungaji wengine nyendo zao zinafuatiliwa kwa karibu sana na Bwana wa Shetani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Ni uwendawazimu uliokubuhu kutetea wezi!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    nenda Milembe kunakufaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la mahakama ya kadhi, CCM ilaumiwe

    Je, waislam mko tayari kutumia mapato yatokanayo na pombe na nguruwe ili hali ni vitu haramu kwenu? Je kwa wale ambao ni ndoa mseto watahukumiwaje? Mimi naona hiyo ni tamaa tu ya kutaka kuwa watawala. Haiwezekani kabisa kukubalika kwa mahakama hiyo ya kadhi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Waislam

    Ndo mnataka mtaka mlete hukumu zenu za kukatana VIBAIOLOGIA vya KiUmE kisa kufumaniwa?
Back
Top Bottom