Recent content by MR TSETSE FLY

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa udsm

    :frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty: Jamani samahani naomba tusaidiane jinsi ya kujua kama umepata accomodation mabibo au main campus.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Admission letters udsm zipo tayari

    yes, unachukua na kuondoka nazo kisha kwenda kuzijaza mahali kunakohusika kama kwa doctor na sehemu nyingine unajaza mwenyewe,ila kuna form mbili ambazo zina majina A naB ambazo itabidi upige copy na kuzirejesha chuoni,form zinachukuliwa nyuma ya Bussiness school kwenye ukumbi ambao mimi ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Also this is very important to take into consideration

    Iam very determined to oppose the current system of NECTA which require STD vii pupuls to answer maths Questions by using mutiplechoices This system to me is the system which greatly will undermine our primary education and hence education in general because It increases the number of pupils...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Admission letters udsm zipo tayari

    YES, Passport zinapigwa palepale chuoni kwenye maktaba ya chuo, usiulize kuhusu michango tena kwani passport hizo ni za admission ambayo ni bure yaani hulipi kitu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Admission letters udsm zipo tayari

    YES, Passport zinapigwa palepale chuoni kwenye maktaba ya chuo, usiulize kuhusu michango tena kwani passport hizo ni za admission ambayo ni bure yaani hulipi kitu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania kwa kupewa loan... naipigia ccm kura alafu naupigia mlima Kilimanjaro kura

    wewe hujielewi,inabidi uende muhimbilim kupma akili.Lazima utakuwa punguani au taahira.Angalia sana mwenendo wako wewe Nyoka mwenye sumu kali.Huwezi kwenda mbinguni mpaka ukatubu dhambi yako hii.Kumbuka hivi ni vidole viunaongea .Aka.sio mimi.Tehetehetehe!!!!!!!!!!!!!:flypig:
  7. M

    JamiiForums Tanzania kwa kupewa loan... naipigia ccm kura alafu naupigia mlima Kilimanjaro kura

    wewe hujielewi,inabidi uende muhimbilim kupma akili.Lazima utakuwa punguani au taahira.Angalia sana mwenendo wako wewe Nyoka mwenye sumu kali.Huwezi kwenda mbinguni mpaka ukatubu dhambi yako hii.Kumbuka hivi ni vidole viunaongea .Aka.sio mimi.Tehetehetehe!!!!!!!!!!!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na mawazo yenu

    Aise!bila mkopo au private sponsorship inabidi ujaribu kustrugle wewe mwenyewe.Otherwise unaweza ukakaa nyumbani ukapiga jembe kisha ukapata mkwanja kwa ajili ya mwakani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania loan board jamani!

    Hawa jamaa wa loan board ni watabe sana,wamepiga kazi usiku na mchana kuhakikisha watoto wa wakulima hawalali na njaa chuoni.THANK GOD NIMEPATA MKOPO.THANK YOU VERY MUCH MR LOAN BOARD
  10. M

    JamiiForums Tanzania ninapiga hodi.hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiii

    Cleary Mr Tsetse fly is very happy to start cooperating with the society through this social forum.It is very interesting to communicate with the society about various aspects around us.Personally I will be very active to cooperate with the society in answering and asking various questions...
Back
Top Bottom