Recent content by mr traders

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya shamba la eka 500

    mkoa gan mkuu, toa more details
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maoni yako: Watu wa Mtwara wana hoja ya msingi katika madai yao?

    mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri watatu kungolewa Wabunge CCM wawakataa

    UPEPO mbaya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) unazidi kuvuma, safari hii wabunge wake wakimtaka Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza kazi mawaziri watatu. Mawaziri wanaotakiwa kung’olewa ni Dk. Shukuru Kawambwa (Elimu na Mafunzo ya Ufundi), Dk. Mathayo David Mathayo (Mifugo na Maendeleo ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tumezindua matawi 19 na kuvuna wanachama wapya zaidi ya 1000!

    saf sana makamanda
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ndugu zangu wa majengo~ watoto wa bro. Lyimo mpo !!

    ha ha ha , mm nakumbuka life hostel ya pale kwa minja na kichawele, enzi hizo napiga tungi pale eagle bar na majengo in.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa amtoa kafara Pinda

    RIPOTI ya tume iliyoundwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa mwaka 2006 kuchunguza ujenzi wa maghorofa katika Jiji la Dar es Salaam, imemweka mahala pabaya na inaweza kumtoa kafara, Waziri Mkuu wa sasa, Mizengo Pinda, Tanzania Daima Jumatano limedokezwa. Pinda anatolewa kafara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo: Ngumi zitapigwa bungeni

    MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, (CHADEMA), amewataka Watanzania watarajie mapanbano makubwa zaidi bungeni, hata ikibidi ngumi kupigwa, ili kuleta ustaarabu na kutetea haki ya kidemokrasia katika chombo hicho cha kutunga sheria. Ndesamburo ambaye amekuwa bungeni tangu mwaka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapekua ofisi ya CHADEMA Makao Makuu!

    dah kaz ipo,naona bado huo ushaid wao wa kujikanyaga nyaga wanazid kuokoteleza.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mpenz kaniacha kisa sina hela

    wakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika malengo yenu, ila cha ajabu mara ya mwisho kama week tatu zilizopita aliniomba elfu 50, k ukwel...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa aambiwa asihangaike kwenda Mbeya; ajiandae kuchukua Ikulu 2015

    KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Willibrod Slaa ametakiwa kutokanyaga mkoani Mbeya kuanzia sasa hadi ifikapo mwaka 2015 wakati wa uchaguzi mkuu. Kauli hiyo imetolewa juzi mjini hapa na kundi kubwa la wanachama na wapenzi wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania John Heche awaleta nchini vijana wa Marekani,Uingereza na Ujerumani

    karibun sana makamanda muone ukandamizaj wa demokrasia unavyofanyika tz, hongera heche ww n jembe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika amkatia rufaa Ndugai

    BAADA ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuondoa hoja binafsi ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), kuhusu hatua za haraka za kuboresha upatikanaji wa maji safi na ushughulikiaji wa maji taka katika jiji la Dar es Salaam, mbunge huyo amekata rufaa kupinga uamuzi huo. Katika barua...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka ahojiwa na timu ya Mangula

    MBUNGE wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na vigogo kadhaa wa CCM Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara, wamehojiwa na maofisa wa CCM, kuhusiana na malalamiko ya ukiukwaji wa taratibu katika uchaguzi wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya chama hicho (Nec) wa wilaya hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu fixed account

    mkuu nenda equity bank ndo mpango mzima
  15. M

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu arusha university masters programme

    yap asante kwa ushaur mkuu, nimetembelea web ya tcu na nimekuta kimesajiliwa tayar tangia mwaka 2003 na kuna pia masters wamesha graduate intake moja, lengo langu mm n kupata uhakika zaid. alafu mkuu hapo open university arusha kwan wanaanza lin?
Back
Top Bottom