mwanamke kuwa na faranga sio tatizo ila ukijilegeza kidogo ujue atakuendesha: ukitaka mambo yaende sawa hakikisha unakuwa na rules/principles tangu mwanzo wa penzi lenu.
Hatari ni pale ambapo mwanamke anapata bingo mkiwa ndani ya ndoa kisha zikampagawisha hasa zile zinazoitwa nafasi za...
Pongezi kwa NSSF ipo palepale ila tu tuwakumbushe ndugu zetu mapolisi wayajali majengo hayo na kuishi kistaarabu kwa kuyatunza. Si unajua tena hawa wa kwetu unawezakuta maji ya ukoko yanamwagwa kibarazani wakati shimo la taka lipo
MMMMMMM ila msisahau na wahaya kwa kujipa majina ya mitandao ya simu, aina za simu hata magari kama vile koku......... celtel, koku........toyota, rwega.........nokia.
hii sio rafdhi kaka ni rafudhi au na wewe ni walewaleeeeeeeee
nissan march ya mwaka 1993 manual ya milango mitano inakaribia 70000 km inauzwa bei 6m na maelewano yapo anaeihitaji aweasiliane na mimi kwa email yangu jkishoka@yahoo.com kwa maelewano na detail
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.