Vipi kuhusu India.
Ila bora utoe mahari huu ni utamaduni mzuri, nchi kama Marekani wanaume wanalia na ndoa cos hawana mamlaka ya kucontrol mwanamke.
Unaishi na mwanamke hata wazaz hawakujwi inategemea nini hapo
Ndugu zangu sisi bado hajubahatika kufika 2024, nyie mlioko huko 2024 tupeni update changamoto mnazo kumbana nazo ili iwe rahisi kwetu sisi wa 2023 kujipanga na 2024.
Wana jf naomba maoni yenu kutoka kwa watu hawa wawili.
Kuna mdahalo unaendelea huko mtandaoni na unahusu uislam na ukristo.
Una maoni gani kuhusu mdahalo huo.
https://youtu.be/Qd_CdMt-_9A?si=Sk8ftjjfdbrJKqRq
Kwaiyo kwa vile Canada wamefanya basi Tanzania nayo ifanya.
Hivi umeelewa lakini?
Mamlaka ilisema kutokana na dhamana tulionayo, hapa msilime mahindi kwasababu ya usalama. wao ndo wanajua usalama gani kwasababu wao ndo wamepewa Dhamana.
Lakini mkulima alivyokutwa na kosa hilo kwa mara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.