Recent content by mr sangoyi

  1. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Orodha kamili ya Majina na Picha za Maelfu waliouawa Oktoba 29 kuwekwa hadharani

    Mambo useless gani tena nimefanya humu ndugu, Ku'quote kauli ya sugu??
  2. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Orodha kamili ya Majina na Picha za Maelfu waliouawa Oktoba 29 kuwekwa hadharani

    Kiongozi wangu mkuu na ninayemtii ni Rais wa JMT.... punguza kauli za ovyo dhidi ya viongozi wangu
  3. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Orodha kamili ya Majina na Picha za Maelfu waliouawa Oktoba 29 kuwekwa hadharani

    Mumeambiwa haiishi mpaka iishe 😌
  4. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

    Tulichokishuhudia hamtaweza kubadilisha uhalisia....
  5. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 List: Rais Samia ni namba 4 kwa watu wenye nguvu zaidi duniani

    Nicheke mie 🤣🤣
  6. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania Njia ambazo wapinzani mnazitumia ni dhaifu pro max, kwa ufupi ni kwamba hamjielewi.

    Naruhusiwa kucheka mkuu mtoa hoja 🥱???
  7. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

    Mnatumia nguvu sana kwenye mambo ambayo mngetumia akili katika taifa ambalo lilipata uhuru zaidi ya miaka 50 iliyopita..... sisi sio bibi au mababu zetu wale wa enzi zile!
  8. mr sangoyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepiga shoo, Leo siku ya pili, demu anataka nizae nae.

    Aiseee..... inafikirisha sana!
  9. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

    Mpe huyo mwanamke nyumba ila mwambie aitoe kwenye kiwanja chako.
  10. mr sangoyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kuoa

    Nyoooo.... 😆😌
  11. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania Tatizo baada ya kupata placement

    Placement ni nini mkubwa?
  12. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania Pesa zako zote ambazo hazijashughulikiwa zitatolewa wiki hii

    Sio ujinga ni jau sana
  13. mr sangoyi

    JamiiForums Tanzania Pesa zako zote ambazo hazijashughulikiwa zitatolewa wiki hii

    Pesa inahitaji roho ngumu Huwa haiji kirahisi hivi kwa kusema Amen 😊
Back
Top Bottom