ndio,, tunaweza kumteuwa yeyote kati ya watajwa wa URAIS
lakini mwisho wa siku tukawa tunajilaumu,,,,
tuna tatizo moja si dogo,, ktk swala la kusahau! sidhani kama tuna maradhi hayo
ila tatizo letu ni "KUDHARAU"
Ndio,, kwanza kabisa tuna "fikra mgando" kwa...