Recent content by Mr pianoman

  1. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Njia zote za kidiplomasia zitumike kupunguza mvutano” - Rais wa Iran

    Huyu Rais ni Mosad
  2. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Hiyo wilaya ya serengeti ni maarufu lakini ukienda pale makao makuu yake wanapaita sijui MUGUMU utasikitika Sana aisee. Yaani picha linaanza barabara zote za kuingia kwenye ule mji ni vumbi hakuna lami iliyofika kule yaani..
  3. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel zaanza maandalizi ya kuipiga tena Ira

    Kupigana na magaidi kazi sana
  4. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Against All Odds, Vita vya USA/Israel na Iran Vitadumu Muda Mfupi na Utawala wa Kiayatollah Kufutiliwa mbali

    Kwa mujibu wa maandiko Iran zama zake zimeshapita kabla hata ya kuzaliwa Kristo. Hivi sasa ni zama za Marekani na ndiye anakwenda kutimiza unabii kama ilivyo andikwa kwenye kitabu cha Daniel.
  5. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya

    Umetisha sana mkuu 🫡
  6. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Shirika la kuaminika la kimataifa(CIR) kutoka Uingereza laja na report nzito yenye ushahidi mauaji M029

    Kuna ng'ombe aliuwawa sehemu kikatili sana usiku wa manane alikatwa katwa mapanga ya miguu na kichwa. Asubuhi kunakucha mwenye ng'ombe anamkuta ng'ombe wake zizini hali ni mbaya akitoa machozi kama ya binadamu aliye dhulumiwa haki yake. Kutokana na uchunguzi wa haraka haraka kuna mtu alihisiwa...
  7. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

    Wale wanaongezewaga marupurupu yao kimya kimya sasa yeye kayaweka wazi.
  8. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jovin Kaaya: Askari Magereza walituonesha upendo, walitutia moyo

    Mahabusu sio Mali ya askari magereza ni mali ya mahakama, ndio maana askari magereza hawakudili na wewe. Askari Magereza mali yao ni mfungwa, huyu ndio wanadili naye bampa to bampa yaani wanacheza na mfungwa the way alivyo. Na mfumo wanao utumia askari magereza kuwanyoosha wafungwa ni ile...
  9. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

    Mimi sio mwanasiasa na wala sijuhusishi na siasa ila nacho taka kusema ni kwamba huyu bwana mdogo polepole ni mnafiki sanaaaa maana hakuna utawala uliotesa watanzania kama utawala wa Magufuli. Na huyu Bwana mdogo Polepole ndio alikuwa mshauri mkubwa wa Jiwe.
  10. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

    Utazani wamekurupushwa kutoka kwenye fatiki
  11. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

    Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
  12. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

    Kula nyama nyamaza
Back
Top Bottom